Fahamu Maana Halisi ya Jihad na Jinsi Inavyopotoshwa

Sasa wewe mkuu ulikuwa unashauri waumini wa huo msikiti wawatoe hao wanaouza miili yao kwa nguvu?
Nilipokuwa advance nilisoma kitabu kinaitwa A man of the people katika hicho kitabu kuna khabari za mdudu anaitwa chichidodo sifa yake kubwa ni kujiona msafi haliyakuwa anakaa sehemu chafu the likes masheikh wetu wa siku hizi
 
Wapo Mujahidina watapinga.
 
Amejibu sahihi labda hujamuelewa huwezi kusoma aya moja tu ya Qur'an ikatoshea kutoa ufafanuzi bali ufafanuzi huweza kutolewa na aya nyingine au hadithi

Tafsiri ya kiswahili ni hii
 

Attachments

  • Screenshot_20250324-072300.png
    101.9 KB · Views: 21
  • Screenshot_20250324-072325.png
    111.8 KB · Views: 22
Umeongea vizuri na unaeleweka pia changamoto kubwa ya Vita za sasa hazifuati sheria tofauti na enzi za maswahaba endapo sehemu maalum ya kupigana hutengwa ili kuondoa madhara kwa raia

Pia dhana za mapigano zimebadilika zamani kulikuwa na upanga na mikuki kwa sasa kuna mabomu ya karibu na mbali hivyo hata mbinu za upiganaji zimebadilika

Ila kuhusu kupigania haki hapo namimi nakuunga mkono wapo sahihi
 
Nilipokuwa advance nilisoma kitabu kinaitwa A man of the people katika hicho kitabu kuna khabari za mdudu anaitwa chichidodo sifa yake kubwa ni kujiona msafi haliyakuwa anakaa sehemu chafu the likes masheikh wetu wa siku hizi
The Beautyful Ones are not yet Born.
 
Na hawa unaoona wana elimu ya dini lakini bado wanajidai wanapigana jihad za hao kina alshabab ujue wameshindwa na nafsi zao,
Wanajua kabisa wakifanyacho si sahihi ila wanafanya hivyo kwa maufaa ya kidunia.
Wengine maamua wasiokuwa na elimu nzuri wanakuwa brainwashed, mtu anaambiwa mtume alipigana, anapewa na aya, wazungukeni wapigeni kushoto kulia, haelezwi ilikuwaje mtume akapigana vita.

Umetoa elimu nzuri snaa kuhusu JIHAD, jihad nyingi ni za uongo kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…