mwenye history ya TANZANIA atupe
Usisahau kugusia na chanzo cha huu mgogoro wao wa Sasa.Asante mkuu kwa kunijuza hayo.
Ngoja niyafanyie kazi
[emoji23][emoji23][emoji23]Weka nyama nyama za miamba ya kitigray mkuu
Utalia kama ikiandikwa sahihimwenye history ya TANZANIA atupe
Ethiopia haikutawaliwa kwani Muitaliano alipigwa kama Ngoma pale Adowa.Hata hivyo Benito Musolin alifanikiwa kukkamata Ethiopia mwaka 1935 lakini alifurushwa 1941.Asante kwa kutujuza yote hayo. Lakini mbona umeacha kuzungumzia nafasi ya Ethiopia katika kujikomboa kwa nchi za Afrika kutoka ukoloni? Ghana ilipata uhuru wake mwaka 1957. Ethiopia je?