Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

Nashukuru sana kwa maelezo yako. Na nilijaribu kuyafanyia kazi mwaka huu sema nilishindwa kutokana na sabab zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Ko nilifanikiwa kupulizia mara mbili tuu. (Kutokana na ghalama za viwatilifu kuwa juu) ila mwakani tumejipanga maana tumeshaandaa viwatilifu na kila kitu (serikali imetuletea huku katavi) mvua hizi zinazoanz zikiisha tuu Mungu akijalia tutaanza mapema ili tupige sumu na dawa kwa zaidi ya mara 6 kabla ya mavuno. Nashukuru sana kwa maelekezo yako. MUNGU AKUBALIKI
Mkuu, unaweza kupanda mazao mengine kwenye shamba la mikotosho hasa inapokuwa bado midogo?
 
Nashukuru sana kwa maelezo yako. Na nilijaribu kuyafanyia kazi mwaka huu sema nilishindwa kutokana na sabab zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Ko nilifanikiwa kupulizia mara mbili tuu. (Kutokana na ghalama za viwatilifu kuwa juu) ila mwakani tumejipanga maana tumeshaandaa viwatilifu na kila kitu (serikali imetuletea huku katavi) mvua hizi zinazoanz zikiisha tuu Mungu akijalia tutaanza mapema ili tupige sumu na dawa kwa zaidi ya mara 6 kabla ya mavuno. Nashukuru sana kwa maelekezo yako. MUNGU AKUBALIKI

Kila jema mkuu
 
Inaweze kustawi kwani kwa mujibu ya mikoa iliyovyanyiwa utafiti ifuatayo imeeonekana kuweza kulima/kustawisha zao hilo: DODOMA, SINGIDA, KILIMANJARO, na TABORA.
Nafikiri na Kakonko mkoani Kigoma
 
UZi mzima hakuna aliesema eka moja ina cost kiasi gani kuandaa had kupanda
 
Nashukuru sana kwa maelezo yako. Na nilijaribu kuyafanyia kazi mwaka huu sema nilishindwa kutokana na sabab zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Ko nilifanikiwa kupulizia mara mbili tuu. (Kutokana na ghalama za viwatilifu kuwa juu) ila mwakani tumejipanga maana tumeshaandaa viwatilifu na kila kitu (serikali imetuletea huku katavi) mvua hizi zinazoanz zikiisha tuu Mungu akijalia tutaanza mapema ili tupige sumu na dawa kwa zaidi ya mara 6 kabla ya mavuno. Nashukuru sana kwa maelekezo yako. MUNGU AKUBALIKI
Gharama za viautilifu zinaweza cost bei gani kwa eka ?
 
Sa
View attachment 1506595

Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la ekari 20. Gharama na takwimu hadi kuvuna na kiasi cha mavuno kwa mwaka.

Natanguliza shukrani zangu.

WADAU WENGINE WANAOHITAJI UELEWA WA KILIMO HIKI

MICHANGO YA WADAU
SAfi sn
 
Back
Top Bottom