MEDALIST
Member
- Aug 10, 2017
- 57
- 76
Beef shamba lako liko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kuuza bei kubwa nje na ya mnadani. Hongera kwa kupata mteja wa zaidi ya 4500. Huko unakosema tandahimba ijumaa wamepiga mnada ambao ni wa pili bei ni 3980.Acha ubishi korosho mwaka Jana imeuzwa 4500 Mwaka Huu imepanda
Tandahimba zima mnada unapigwa sehemu moja? Unajua Tandahimba ina vijiji vingap, Kwaheriiii.Hongera kwa kuuza bei kubwa nje na ya mnadani. Hongera kwa kupata mteja wa zaidi ya 4500. Huko unakosema tandahimba ijumaa wamepiga mnada ambao ni wa pili bei ni 3980.
Sijui unaongelea tandahimba ya nchi gani. By the way mm niko sehemu ya tukio. Naona wengine muko mitandaoni kwa ajili ya kuleta ubishi ili muonekane wakati uko unakokusema wewe ata hupajui.
Kweli nimeamini people are not the same aisee.
Nina uhakika kuna vitu hujavielewa kuhusu mnada na ata kuelewa nini maana ya mnada, ndo maana unauliza mnada tandahimba unapigwa sehemu moja? Ungejua chochote kuhusu minada ili swali lisingekuwepo tehtehteh.Tandahimba zima mnada unapigwa sehemu moja? Unajua Tandahimba ina vijiji vingap, Kwaheriiii.
Tabora je korosho inaweza stawi ?
5000 hakuna boss
Ilikuwa 3859
Sehemu zingine 3875
Ila siyo mbaya
Mkuu na gharama za matunzo mpaka zianze kuzaa zimesimamaje? Nina shamba mkuranga kubwa ipo mikorosho ya asili kipindi hiki imefunga Sana yaani imejaza sana, nimewaachia vijana maana Mimi sijui wapi pa kuanzia ila Kwa uzi huu macho yangu yamefunguka.Hongera kwa kuuza bei kubwa nje na ya mnadani. Hongera kwa kupata mteja wa zaidi ya 4500. Huko unakosema tandahimba ijumaa wamepiga mnada ambao ni wa pili bei ni 3980.
Sijui unaongelea tandahimba ya nchi gani. By the way mm niko sehemu ya tukio. Naona wengine muko mitandaoni kwa ajili ya kuleta ubishi ili muonekane wakati uko unakokusema wewe ata hupajui.
Kweli nimeamini people are not the same aisee.
Mkuu na gharama za matunzo mpaka zianze kuzaa zimesimamaje? Nina shamba mkuranga kubwa ipo mikorosho ya asili kipindi hiki imefunga Sana yaani imejaza sana,nimewaachia vijana maana Mimi sijui wapi pa kuanzia ila Kwa uzi huu macho yangu yamefunguka
ExactlyMn
Mnada wa kwanza bei ya juu ilikuwa ni TZS 3,860/- !!! Na inaweza panda kwani mahitaji ni makubwa !! Kiichojitokeza ni uhaba wa mavuno kwa msimu huu !! Kitika mnada wa mojawapo ya wilaya makampuni 22 yalikosa Korosho ikiwa ni karibu nusu ya makampuni yaliyosajiliwa msimu huu kwa ajili ya ununuzi na uuzaji Korosho nje ambayo ni 44 !!
Mn
Mnada wa kwanza bei ya juu ilikuwa ni TZS 3,860/- !!! Na inaweza panda kwani mahitaji ni makubwa !! Kiichojitokeza ni uhaba wa mavuno kwa msimu huu !! Kitika mnada wa mojawapo ya wilaya makampuni 22 yalikosa Korosho ikiwa ni karibu nusu ya makampuni yaliyosajiliwa msimu huu kwa ajili ya ununuzi na uuzaji Korosho nje ambayo ni 44 !!
Huyu hajui alichokiandika. Jumapili ya juzi mnada wilayani Liwale. Nachingwea na Ruangwa kilo sh 3, 940/- sasa huyu sijui anaongea nini. We kaa na negativity zako watu wanapiga hela kwenye korosho.Koroshi zimedoda!!
Tena hajui lolote kuhusu mnada. Hajui kuwa mnada unajumuisha hata wilaya kadhaa! Anadhani kila kijiji kinapiga mnada. Msamehe!Nina uhakika kuna vitu hujavielewa kuhusu mnada na ata kuelewa nini maana ya mnada ,ndo maana unauliza mnada tandahimba unapigwa sehemu moja? Ungejua chochote kuhusu minada ili swali lisingekuwepo tehtehteh. Nina uhakika hujui unachokibishia pia
Pole sana!
Njia ya Muheza Pangani tulianza kulima kitamboKwa kuongezea na mikoa ya Morogoro,Tanga,na Kilimanjaro pia mwaka huu Serikali ilipeleka mbegu. Ni mikoa ambayo watafiti wamesema inafaa kwa korosho
Tena hajui lolote kuhusu mnada. Hajui kuwa mnada unajumuisha hata wilaya kadhaa! Anadhani kila kijiji kinapiga mnada. Msamehe!
Nina uhakika kuna vitu hujavielewa kuhusu mnada na ata kuelewa nini maana ya mnada ,ndo maana unauliza mnada tandahimba unapigwa sehemu moja? Ungejua chochote kuhusu minada ili swali lisingekuwepo tehtehteh
Nina uhakika hujui unachokibishia pia
Pole sana!
Liwale 39505000 hakuna boss
Ilikuwa 3859
Sehemu zingine 3875
Ila siyo mbaya
hahaaha kweli bora amsamehee naona kakimbia kabisaa. Dah!! nimecheka saaana, anabishana na watu ambao wanashinda vijijini hata kupata 4G ni Issue!