Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao waendelee na kazi yao ya "kumtukuza Sponsa" wao pamoja na kuendeleza propaganda potofu ya kukubalika kwa Chama chake, kuteka na kuwaangamiza wakosoaji wake na kujadili habari za Yanga na Simba. Hiki ndicho wanachoweza.Shirika la kijasusi la TISS ni la ngapi Duniani?
Naunga mkono hojaWao waendelee na kazi yao ya "kumtukuza Sponsa" wao pamoja na kuendeleza propaganda potofu ya kukubalika kwa Chama chake, kuteka na kuwaangamiza wakosoaji wake na kujadili habari za Yanga na Simba. Hiki ndicho wanachoweza.
Haya mambo ya Ujasusi wawaachie wenyewe wenye akili kubwa kama CIA, Missad na wengineo.
Kujisifu tu. Mossad na hao ISI hawawezi kuwa mbele ya GRU ya mnyama dubu Putin. Na hili limejidhihirisha kwa kiwango cha juu kabisa kwenye mgogoro unaoendelea huko Ukraine.
Naamini kwa kiwango cha juu kabisa mashirika yote ya ujasusi ya west na marekani walikubaliana kwa 100% kwamba vikwazo ndio vitaimalza Russia na Putin. Kinyume chake ni wao ndio wanatembelea choke.
GRU walimhakikishia Putin kwamba vikwazo havitafua dafu. Na ndio kilichoyokea.
Naunga mkono hojaNi wapi na lini kuwa west na america walikubali russian GRU ni bora?
Unachanganga military intelligence na foreign intelligence services