Fahamu matokeo ya meditation

Fahamu matokeo ya meditation

DIALECT OF GODS

"Lugha ya miungu"

🤜SEHEMU 02: ki-nuwaupiki
Mara ya mwisho tuliona namna DHANA YA SAPIR-WHORF ilivyojaribu kuelezea namna ambavyo utofauti wa lugha Unavyoathiri ufahamu wa Watumiaji wa lugha hizo, Dhana hiyo hueleza kwamba, ”The particular language one speaks influences the way one thinks about reality". Ikiwa na maana kwamba, Lugha aizungumzayo mtu Huathiri namna ya kufikri kwa mtu huyo kuhusu uhalisia .
Na sio hivyo tu, pia sauti za matamshi ya lugha Mbalimbali zina tone na mitetemo tofauti, na uzungumzaji wa lugha ni sawa na mziki, Kuongea ni kuimba ,na matamshi ndio wimbo wenyewe. Ndo Maana katika dini Nyingi hupendekeza waumini wao kuimbia nyimbo miungu yao, sababu kuu iliyo nyuma ya pazia ni kuwezesha kuinua mitetemo ya miili yao, hivyo kuwafanya Wajihisi kuwa na uwepo wa mungu, la hasha huo sio uwepo wa Mungu bali ni matokeo ya kupandisha mitetemo ya mwimbaji anayetumia lugha kuimba,kusifu na kuiabudu miungu yake.

INAENDELEA...

Lugha za sasa ni zao la lugha ya awali zaidi kuzungumzwa duniani, data zote za kiakiolojia zinaonesha kwamba jamii ya kwanza ya mwanadamu iliishi afrika (- na kisha kusambaa ulimwengu kote miaka mingi kabla hata ya biashara ya utumwa ambayo ni historia pekee mtu mweupe ameijaza kwa mtu mweusi na kuiacha historia yenye ukuu wa mtu mweusi ikipotea-), Na Kwa mantiki hiyo ni wazi kwamba lugha hiyo ya kwanza ilikuwa ya watu weusi na ilizungumzwa na watu weusi.

Officially, lugha ya awali zaidi kutumika kwa mawasiliano kwa sasa hutambulika kama HIEROGLYPHS au CUNEIFORM katika lugha ya kingereza, lakini Waswahili huiita MWANDIKO WA KIKABARI, hiyo yote ni kwa sababu iliandikwa katika vibao vya udongo wa mfinyanzi, kwenye Mapango hata kwenye piramidi maarufu za misri, maandishi hayo ya kikabari/Hieroglyphs/cuneiform pia yapo.

Mwandiko wa kikabali ni mfumo wa uandishi wa lugha kongwe zaidi duniani iliyotumika tangu enzi za misri ya kale na Mesopotamia. Kuwa makini hapo, kuna muingiliano mkubwa wa kitamaduni kati ya misri ya kale na sumeria/ Mesopotamia, baada ya miungu (Anunnaki) Kujenga ustaarabu sumeria (-ambayo ni Iraq ya sasa-) Kwa sababu za kisiasa na madaraka, miungu Walianza kutawanyika sehemu Mbalimbali, kama misri na kuendeleza Ustaarabu(Civilization) na utawala kwa jamii za wanadamu hivyo kupelekea sehemu hizo kuwa na mwingiliano hata katika lugha pia, na ndio maana Mwandiko wa kikabari hutambuliwa kama lugha ya misri ya kale na Sumeria.

Kwa kuwa Sumeria ni ustaarabu wa kale zaidi, Maandiko ya kikabari yaliandikwa Kwenye vibao vya udongo laini kwa kubonyeza vijiti na kutengeneza alama tatu zenye kona, na kuziunganisha alama hizo kuwakilisha neno fulani. Wataalamu wa sasa wamegawanya maandiko hayo katika makundi mawili ambayo ni Hieroglyphs na cuneiform, Hivyo basi, cuneiform ni alama zenye pembe tatu zilizoandikwa kwenye kibao cha udongo lakini Hieroglyphs imetokana na neno "hiero" linalomaanisha takatifu/sacred na neno "glyph" linamaanisha kuchonga/carving, hivyo basi Hieroglyphs ni picha zinazosimama badala ya maneno, ie. picha ya nyumba(one dimensional) husimama badala ya neno nyumba n.k

Baada ya miungu, Anunnaki kuondoka juu ya uso wa dunia,zilipita tawala mbalimbali mpaka kufikia nyakati za Utawala wa Rumi, hivyo lugha yetu ya kwanza kutumika duniani ilitambuliwa kwa majina tofauti kutokana na utawala na nyakati husika. Ilitambulika kama lugha ya kinubiki(Nubic language), kisabaiki(sabaic language) , ki-nuwaupiki (Nuwaupic language) e.t.c ambapo kinubiki kilitumika maeneo ya Sudan na misri, kisabaiki kilitumika maeneo ya kushi(Ethiopia ya kale) ambapo ilimaanisha pande zote mbili za bahari nyekundu (Mediterranean sea) ambayo ni Afrika kaskazi-mashariki na Arabia ya kale( mpak maeneo ya Yemen ya sasa).
Arabia ya kale ilikua ni sehemu ya kushi na wakazi wake walikuwa ni watu weusi pia, baadaye Arabia ilikuja kutambulika kama sheba( na hapo ndipo tunapopata visa vya mfalme Sulemani na malkia wa Sheba katika vitabu vyenu vya dini, Biblia na kuran), pia sheba iliitwa Saba, sabean, sabaic na Napatani, Na Lugha iliyotumika ndo Ilikuwa kisabaiki ( sabaic dialect).
Na kwa nyakati nyingine, wamisri wa kale waliitambua Lugha hiyo kama Medu neter

Lugha ya ki-nuwaupiki ni lugha ile ile iliyotumika tangu wakati wa miungu, demigods, misri ya kale, pamoja na kushi, na hiyo ndio lugha yetu watu weusi, ndio lugha Ya kiungu, tuzungumzapo hutuletea muunganiko na ukiroho, lakini Reptilia hawataki kabisa watu weusi tuijue lugha yetu na wakidai lugha hiyo haipo tena imekwisha potea, wanaogopa watashindwa kuthibiti ufahamu wetu wa ndani hivyo kupelekea ugumu kututawala, hilo unaweza kujionea namna serikali inavyohangaika kuongoza sehemu ambazo zina watu wa kabila moja watumiao kilugha kuwasiliana . Na ukipata maarifa zaidi utagundua kuwa Majina ya cuneiform na Hieroglyphs hutumika kuficha lugha yetu ya awali, ki-nuwaupiki/kisabaiki/kinubiki/kinapatani au Medu neter

Jina Nuwaupiki limetokana na kundi la United of Nuwaubic nation (-likiwa chini ya Malach Z. Yolk-), kundi hilo lilitambulika kwa majina tofauti tofauti Kwa nyakati tofauti, ni kundi la watu weusi wa Marekani (Black Supremacist) waliothubutu kwa kiwango kikubwa kupingana na utawala wa Reptilia wabaya kwa kuufunua ukweli juu ya mambo yote na kuteketeza uongo wote uliopandikiza na Reptilia, uongo uliofunga fikra za watu weusi na kuwapotezea Uungu wao.
Bw. Malach z yolk, katika kitengo/department ya elimu amethubutu kuwafundisha watu lugha yetu asili kutoka kwa miungu, na kwa nyakati zetu za sasa hutambulika kama lugha ya ki-nuwaupiki/NUWAUPIC LANGUAGE .
Kwa bahati mbaya, Lugha hii haitambuliki na serikali za dunia, haijapitishwa kuwa rasmi kama lugha iliyotumika na wamisri wa kale, na ukizama ndani zaidi utagundua kuwa Majina ya cuneiform na Hieroglyphs hutumika kuficha lugha yetu ya awali, ki-nuwaupiki/kisabaiki/kinubiki/kinapatani.

Ni muhimu kwa watu weusi kutumia lugha yao asilia ili kupata muunganiko wa kiroho, kwa sababu mtu mweusi Ana sauti halisi yenye tone ya kweli na yakipekee, tofauti na jamii zingine za wanadamu ambao huzungumza kutokea kooni kwenda mwenye pua bali mtu mweusi huzungumza kutokea kifuani(-kwenye Diaphragm) kuelekea kooni, na hiyo ni mojawapo ya sababu ya kuwa watu wenye roho (soul people)

Dogoli kinyamkela from Serpent bloodline was here, next time tutaenda kuona kwa namna gani Lugha Zingine (-lugha kama Sanskrit, kiarabu,kijapani,kichina, kibantu-) zilivyotokana na lugha kongwe zaidi duniani, lugha ya mwandiko wa kikabari/cuneiform & Hieroglyphs. Na uhusiano uliopo kati ya maneno matakatifu kama mantra,Enns na lugha za cuneiform na Hieroglyphs.

ITAENDELEA...
Dogoli kinyamkela
1736959369916.jpg
always Dogoli kinyamkela 😊. @highlight
 
Meditation ya kwenye usingizi.

Meditation Ina maana na tafsiri kubwa mno.
Zipo aina nyingi pia.

Ndio maana tunasema ukiwa kidogo mzoefu wa kufanya meditation ,waweza kufanya meditation popote pale,hata siku ukipoteza mwili wako bado utaendelea na jambo hili la meditation,Sasa inategemea upo level gani za kumeditate.

Ok Kuna meditation hii ya kwenye usingizi.
Nimepata kuiongelea kwenye somo la SUKARI.
Meditation hii ni nzuri sana ukiifanya ipasavyo.
SUKARI ni code yako njema.
ukifanya meditation hii vyema,ukajiachia ,hakika jambo lako Lazima litoboe.

Iwe umetaka mvuto Lazima utoboe,iwe umetaka utajiri utatoboa tu ,wale wenye malipizo nao upande wao wanatoboa,wenye makesi nao watatoboa pia,maana utaoneshwa Cha kufanya,Cha MSINGI tu usifanye jambo baya ukakimbilia kutaka kupiga mtu kwa code hii,utapigwa wew.

Kinachohitajika ni kujiachia ,kama una wasiwasi kunena jambo, afadhali unyamaze tu,nawa tu SUKARI yako na ulale Chali,ukiwa tayari kwenye point ya usingizi, hapo utakuja usingizi mzuuri wa maono.

Ondoa Hofu na jambo lako.
Wala ondoa mawazo kuwa free.

Angalia ushuhuda huu
👇👇👇
Kuna mtu aliwahi, kufanya code hii, usiku akaona ndoto mwanamziki Diamond amekuja kwake ,anamtafuta.
Huyo mtu alipomwona Diamond kwa Hofu akajificha,Diamond akapepesa macho kumtafuta mtu yule hakumuona,
Diamond alichomoka kama risasi kutoka Eneo Hilo,siku sii nyingi huyo jamaa alikosa utajiri(pesa) nyingi sana.
Ni pesa ambayo ilikuwa inakuja kwake lakini alichengana nayo.

Hivyo ufanyapo jambo Hilo ni B
1736965080214.jpg
ora uombe Neema pekee.
 
Asili kwanza.

Kwa wale watu wanaozingatia matumizi ya asili ,Ebu chukua hii.

MIIBA YA KARUNGUYEYE.
👇👇👇
Kwa mkulima kipindi hiki Cha masika ,kachomeke pembezoni mwa mwamba lako na katikati ya shamba .
Kuna watu wanaitwa WAGINDU itakuwa kwisha habari Yao.
Utavuna mazao yanayostahili kupata na Sio kuibiwa shambani kichawi.

Kwa wafanyabiashara
👇👇👇
Weka kwa pochi yako mwiba mmoja wa KARUNGUYEYE au kwa Droo ya pesa au kopo la pesa .
Hii inavuta wateja pia lakini pia inakomesha wizi wa kiini macho.
1736965262195.jpg
1736965259731.jpg

Kwa wale wafugaji .
👇👇👇
Chukua MIIBA ya huyu KARUNGUYEYE kiasi tu isiyozidi 20.
Kaimwage kwa zizi la mifugo yako.

Mifugo itazaana sana,hapatotokea na wizi wa mifugo yako kwa njia ya kiini macho.

👉wizi wa kiini macho imekuwq ni Dili sana kwa siku hizi,kwa maana watu hawana kazi za kufanya/ajira .ukiingia mtaani ,mashambani,migodini nk watu hawa wanafanya uchawi huu.

Lakini wengi wanaendeleq kuumia kwq kuwekwa wazi na Nguvu za asili.

👉ASILI KWANZA
 
Kutoa na kupokea
👇👇
👉sheria ya ulimwengu.
Hii ni moja ya sheria ya ulimwengu /universal laws.

Muda wote ulimwengu unatoa
Ulimwengu unatoa uhai ,
Ulimwengu unatoa Baraka
Ulimwengu unatoa maumivu kwa watu na vitu.

Ulimwengu unatoa fursa mbalimbali kwa watu .
Ulimwengu unatoa maarifa nk nk

Lakini pia usisahau kuwa ulimwengu unapokea ,ulimwengu unapokupa basi na wew toa ,kwa maana unapotoa wenyewe unapokea ,

Ulimwengu unapokea Magonjwa yako,
Ulimwengu unapokea matatizo yako ,
Ulimwengu unapokea vitu vyote .

Sheria hii ni vyema kuibalance ili kuruhusu nguvu ya Ulimwengu kufanya kazi katika mtiririko sahihi.

Unapoona umepokea ,toa pia ili kuruhusu mtiririko wa kutoa na kupokea kwenda sawa.

Kuna watu wanasoma tu makala mbalimbali bila kutoa hayo maarifa pengine👉ulimwengu utakunyima pia.

Unapopewa toa pia.

Simaanishi kutoa pesa au vitu ,kitu chochote unachopokea ,hakikisha unatoa pia ili k
1736965420140.jpg
uruhusu mzunguko kuendelea.
 
Kutoka nje ya mwili/Astral projection.

Ni kitendo Cha kutengana na mwili wako huu wa nyama.

Ni kile kitendo Cha mwili wako wa ndani kutoka nje ya mwili.

Kutoka nje ya mwili hufanyika kwa Namna mbili
Moja kujiandaa kwa kutulia kwenye utulivu.

Mbili ni kupitia kwenye ndoto.

Utokaji huu wa kupitia utulivu,mtu huweza kutoka nje ya mwili na kwenda mahala popote pale,huku akijua kabisa kuwa nipo nje ya mwili na kuuona mwili wake wa nyama ulipolala.

Tendo hili ni moja ya Namna ya kuiimarisha kiroho ,japo Sio Lazima kutoka nje ya mwili

Watu wengi hutaka kutoka nje ya mwili lakini hushindwa ,kutokana na kukumbana na kadhia ya maumivu ya mwili kama kudhani anakabwa na jinamizi ,kumbe ni dalili ya kutoka nje ya mwili,

Ukiweza kuivumilia Yale maudhi kwa sekunde 10 tu,utaweza kutoka nje ya mwili,ukifanikiwa kutoka nje ya mwili ,unashauriwa kutokwenda mbali kwa wale wanaoanza.

Tendo hili la kutoka nje ya mwili SI chochote katika utambuzi wa kiroho,kwa maana mwili huu wa ndani ,bado ni Mwili wa maumbile uliojishikiza katika mwili huu wa nyama.

Kwa hiyo utokaji huu upo wa aina mbili kama nilivyokwisha kusema ,watu wengi hutoka nje ya mwili bila wao kujua kupitia ndoto za usiku.

Inahitaji mazoezi ya kutosha ili kuwa mzoefu
1736967132711.jpg
wa kutoka nje ya mwili.
 
Jinsi lango la ndoto linavyomaliza watu.
Kiuchumi,mahusiano,kiroho ,kiafya nk nk.

MWANADAMU anapolala huota ndoto nyingi sana kwa usiku mmoja.
Na Sio usiku tu hata ukilala mchana utaota tu.

Kwa kawaida ndoto zipo za aina nyingi.

Mtu anaweza kuota sababu ya reflection yake na mihangaiko ya maisha.
Mtu anaweza ota ndoto sababu labda Kuna ugonjwa unamsumbua au ameugua muda mrefu /akili imetengeneza kitu hicho.

Kuna ndoto za kuota kwa sababu ya ulevi,kusikiliza story Fulani,au kuangalia move Fulani nk .

Mtu anaweza ota ndoto sababu tu Kuna kitu kakiweka moyoni mwake.

Lakini pia tulisema ndoto ni Lango ambalo universe hulitumia kuputishia Taarifa mbalimbali zinazokuhusu au zisizokuhusu kutoka katika ulimwengu wa juu au ulimwengu wa chini.

Watu wengi wamekuwa wakiteseka katika jela hili ,la kukumbwa na ndoto mbaya ,ndoto za maudhi,ndoto za magomvi,ndoto za kufanya sherehe ,misiba nk

Mfano unakuta mtu anaota.

👉kuotq unakimbizwa na Mbwa .
👉kuota unachunga mifugo kama Ng'ombe ,mbuzi nk
👉kuota unakula nyama ,matunda ,nyama mbichi,ugali ,kunywa maziwa ,kula Nyoka nk nk.
👉kuota unazini ndotoni( hii imekithiri sana ,maana shetani kawateka watu wengi Eneo hili).
👉kuota upo katikati ya pori.
👉kuota upo darasani au chuo nk nk.

Hizo ni baadhi tu ya ndoto AMBAZO zimekuwa zikiwasumbua watu na kuwaacha hoi bila kujua Cha kufanya .
Na ndoto hizi zina maana katika maisha yetu ya kawaida

Kumbuka ndoto ni lango la mawasiliano kutoka kwa Universe ya utashi wa chini na utashi wa juu.
Mawasiliano yakinasa katika antena zako tu,tayari athari zitakupata.

Kama umeota kuwa tajiri ,ujue Kuna Ukweli wa kuwa tajiri,kama umeota unakimbizwa na Mbwa ujue Kuna effect za Mbwa zitakukuta nk nk.
Hizi ni lugha za kwenye ndoto ,hivyo yakupasa kuzitafsiri lugha hizo.

Kama uliota mafuriko ya mto ,ujue maana ya maji kiroho,ujue makasiriko ya maji ,ujue mazingira ya tukio nk nk ,hapo hutapata shida katika kutafsiri ujumbe uliokuja.

Lango hili la ndoto limekuwa ni pando la matatizo ya watu,
Watu wanapata Magonjwa kupitia kwenye ndoto.
Watu wanapata ajali sababu ya kupandikiziwa kwenye ndoto.
Watu wanaharibiwq ndoa zao kupitia maagano ya kwenye ndoto.

Tumesema ndoto Sio mbaya ,kwa maana ni Lango la Taarifa,lakini tatizo watu wabaya waliojaa matrix/ ndio hulitumia lango hili kwa ubaya.

Ebu jiangalie ni kipi huwa unaota,muulize mwanao ,mkeo,mumeo ni kipi huwa anaota .
Je unaota ndoto za kutisha,je unaota ndoto nzuri ,au huoti kabisa ?
Majibu yote utayapata kupitia wewe .

Kwa hiyo ni vyema kulidhibiti lango hili ,ili universe ipate kulitumia kuleta chakula chema kwako,SI chakula ch
1736967260520.jpg
ema tu hata maonyo na maono mbalimbali kwako.
 
Maisha katika Anga za mbali.

Leo tutizame maisha katika Anga za mbali.

Nimewahi kusema katika uzi za nyuma ,kwamba sisi binadamu,mimea ,wadudu,madini ,ardhi nk nk ,hatupo pekee yetu hapa Ulimwenguni.

Ulimwengu ninayoizungumzia Sio Dunia,maana Kuna watu wanajua kuwa hii Dunia ndio Ulimwengu(hao wanaowaza hivyo,wanafukiri katika maumbile au mwili) ,wakitoka nje ya box wataona mbali.

Ulimwengu ni Dude kubwa lisilohesabika ,lisiloweza kuonekana lote kwa macho haya ya nyama Wala vyombo vya kiteknolojia,

Kwa maana ebu ONA ,katika mfumo wetu wa Jua ,inasemekana ndio Dunia pekee yake yenye viumbe hai AMBAO ni sisi,AMBAO mfumo wetu wa Jua una Sayari zaidi ya 8,

Sisi tunapatikana katika Kundi nyota liitwalo MILKY WAY GALAXY .

Kundi hili la nyota Lina zaidi ya nyota Billion 100.
Likiwemo na Jua letu,ambalo ni Ka Jua kadogo sana ukilinganisha na majua mengine yanayopatikana katika Kundi hili la miliky way Galaxy.

Sasa maisha ya viumbe ni nyota ,Nyota /Jua hubeba maisha ya viumbe hai ulimwenguni.

Kwa hiyo katika milky way pekee ambako Kuna majua mengi kiasi hicho ,katika Kila Jua Kuna uwezekano wa asilimia 60 wa viumbe hai kuwepo katika Kila mfumo wa Jua.

Mfano kwenye picha ni mojawapo wa Sayari ambayo imegundilika na Wanasayansi kuwa Kuna uwezekano Kuna viumbe hai wanaishi hapo,maana Sayari hiyo Ina sifa karibu zote na Dunia yetu.

Ulimwengu mzima unakadiriwa kuwa una Galaxy zaidi ya billions 100 .
Ebu ONA hesabu hiyo,
Galaxy moja Ina majua kadhaa,lakini kumbuka ulimwengu mzima unazo Galaxy kiasi Cha kutisha sana na hayo ni makadirio tu.

Hivyo vyombo vinavyotengenezwa na MWANADAMU havina uwezo wa kuuchunguza ulimwengu ,
Ila kwa kutumia ukuu wako ndani mwako unaweza kuuchunguza ulimwengu wote na kuumaliza kwa sekunde tu.
Kwa maana Ulimwengu wooote wa nje upo ndani mwako ,hakuna haja ya kuuchungulia Kule njee ,wewe angalia ndani mwako ,Kuna Kila kitu kinachoonekana Huko juu.

🙏🙏🙏🙏🙏
 
siku moja niliamua kufanya meditation nikalala ubavu wangu wa kulia na kuanza na pumzi nilichagua kulala et ndio niliona nitakua comfortable nikaona rangi rangi za zambarau nikaacha nikalala asubuhi mume ananiambia ameota najiunganisha na mashetani niache jana nimefanya nikaishia kuona kama vision ya mtu amekaa anafanya meditation sielewi nimepatia na bado nimeona hizo rangi rangi za zambarau nina set ya vitabu najisomea still sielew napatia au nakosea??
Mipaka ya mawazo ni mabaya sana
 
Ni kitabu gani naweza kusoma kikaniongoza a perfect way into meditation??.
Tafuta hicho kitabu mkuu usome, meditation ni simple tu kuliko inavyoelezwa.
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    53.9 KB · Views: 5
DIALECT OF GODS
"Lugha ya miungu"

🤜SEHEMU 01: Lugha na ufahamu.

Ni siku nyingine katika mwezi muzuro, Eye, Great, Supreme, Dogoli kinyamkelaView attachment 3202752, From the Serpent Bloodline, nakuwasilishia maarifa yakufungua Jicho lako ili sote tupate kuuona ulaghai huu wa dunia, For its written that, "The real Eye Realize".

Dini sio dhana pekee Iliyotumiwa na jamii kongwe za siri (-Za walioangaziwa"ILLUMINATES" Wabeba nuru"WALUSIFERIA/LUCIFERIANS"-) katika harakati za utumwa wa fikra na udhibiti wa akili yaani MIND CONTROL, Lugha na matamshi ni moja ya nyenzo Zinazohusika kuleta vizuizi katika uamsho wa kifikra kwa namna isiyoonekana kwa macho.

Lugha au matamshi ya lugha vinaathari katika ufahamu wako, ubongo na mwili wote kiujumla, lugha tuzungumzazo zina "tone" za sauti zenye mawimbi yanayopanda na kushuka, uzungumzaji wa lugha ni sawa na mziki, mziki unaweza kubadili "mood" yako, hisia zako na kila DNA iundayo mwili wako.
Usikilizapo sauti za mziki Unaotetema na nishati yako, hukufanya ujiskie vizuri,uwe na furaha tofauti kabisa na mziki wenye mitetemo tofauti na nishati yako hakika utakufanya ujiskie tofauti,kwa namna usiyopendezwa nayo, vivyo hivyo matamshi ya lugha yalivyo. Mitetemo na "Tone" za lugha uzungumzayo huweza kuathiri hadi katika viwango vya kimolekyuli (molecule level). Miili yetu kwa 70% ni maji, ni rahisi sana kubadili mpangilio wa molekyuli ktk maji yaliotulia au yanayotembea kwa kiwango kidog cha mtetemo au tone, Ni vyema kutetema nishati zetu kwa mema kama upendo,furaha nk ili kuwa na mtiririko mzuri wa nishati.

Mtu mweusi anahistoria kubwa yenye maajabu makubwa yaliyowashangaza ndugu zetu weupe "Caucasoids" na kuwashawishi waiibe na kujivisha uhusika Na kuanza kujidai kuwa ni historia yao huku wakiruhusu historia ya mtu mweusi kujazwa na utumwa tu, ili hali wao wameanza kuwepo katika uso wa dunia hii takribani miaka 6000 tu iliyopita.
Sasa wengi wenu msichokijua ni kwamba, mwanamke (- mweusi, jamii ya Ptahites - wakazi wa awàli wa Africa-) alianza kuongea mapema zaidi ya mwanaume, na mwanaume Alianza kuchora na kuandika Mapema zaid ya mwanamke.

Ni miaka takribani 58,000 iliyopita ambapo miungu walifanya mabadiliko ya kijenetiki kwa mwanamke, na kupelekea Zoloto au 'boksi la sauti/Larynx' kutengenezeka juu kidogo ya koo la sauti "trachea", zoloto/boksi la sauti hilo Liliwezesha kuzalisha mitetemo na baadae sauti, hivyo kumwezesha mwanamke kuweza kuelezea hisia zake Kwa misamiati.
Na baada ya vizazi kadhaa kupita baada ya takribani miaka 4000, mwanamke alianza kumfundisha mwanaume kuongea kama mtoto afundishwavyo lugha na mamaye.
Kwa mwanaume ilitokea kasoro, zoloto lake lilionekana kama kukwama kooni Sababu ya uwingi wa sumu ya Reptilia (-ambayo kitaalamu huitwa homoni ya testosterone-) ambayo Mwanaume aliipata kutokana na muingiliano wa miungu Jamii ya Reptilia, hivyo kupelekea mbenuko wa magegedu ya boksi la sauti,mbenuko huo hutambulika kama Adams apple. Kwa wanaume, mbenuko uonekanao shingoni ndio huitwa apple/tufaa la Adam.
Hata sasa wakati wa balehe, homoni ya testosterone ndiyo hurefusha kamba za sauti/vocal cords zilizopo ndani ya Zoloto/boksi la sauti/Larynx na kumfanya mwanaume awe na sauti ya bezi.

Japokuwa kuna geni (vinasaba) nyingi zinazohusika na Uwezo wa kutamka matamshi, geni za "FOXP2" ambazo hupatikana katika chromosome ya saba, ni maalumu kwa ajili ya kuchakata uwezo wa lugha na matamshi, Geni hizi zipo "active" zaidi kwa mwanamke kuliko Mwanaume.
Na ndio maana mwanamke anauwezo mkubwa wa kuongea kuliko mwanaume, pia mtoto wa kike huwahi kuongea mapema zaidi kuliko mtoto wa kiume baada ya kuzaliwa , mwanake anamisamiati mingi na huongea vzr lafudhi, ikitokea mwanaume anaongea sana utaskia "huyu anaongea kama mwanamke". Hali hiyo ya kuongea Lugha fulani vizuri Huathiri namna mtu anavyofikiri kuhusu uhalisia.

Katika uwanja wa wataalamu wa lugha, Linguistics, DHANA YA SAPIR-WHORF hueleza kwamba, ”The particular language one speaks influences the way one thinks about reality". Ikiwa na maana kwamba, Lugha aizungumzayo mtu Huathiri namna ya kufikri kwa mtu huyo "
Ikiwa lugha "A" inamajina takribani 40 ya hali tofauti tofauti za barafu, inamaanisha mtu azungumzae Lugha " A" atakua na hali kubwa ya ufahamu kuhusu barafu kuliko mtu azungumzae Lugha yenye nomino mbili au moja kwa hali mbalimbali za barafu.

Hivyo ni vyema kwetu sisi kuzungumza lugha Yetu asili ili kuweza Kuvunja Vifungo na manuizi yanayowekwa kwenye fahamu zetu kwa kutumia lugha. Lugha yetu ya kwanza watu weusi iliitwa "Nuwaupiki" ikitambulika kwa majina tofauti kutokana na nyakati,eneo na watu wenyewe.
Kwa sasa pia hutambuliwa kama lugha ya michoro ya pangoni (HIEROGLYPHS/CUNEIFORM). hii ndo lugha wanadamu walijifunza kutoka kwa Annunaki- ambao vitabu vyenu vya dini huwaita miungu. Lugha hii ina sayansi ndani yake hata katika alfabeti zake, na hapo mbele utapata uhusiano wa lugha hii na meneno yanayotumika katika ku-chant, mantra, enns na magick .

ITAENDELEA...
Kwamba miungu walimtengenezea mama Yako boksi la lololoto katika koo maajabu sana
 
Ikiwa huna hela na unafanya MEDITATION unakuwa kama chizi.
Hii kitu tuwaachie wenye fedha tu. Stress za hela zikuandame na bado uwaze vitu ambavyo havina uhalisia.

Meditation inakuzwa sana sidhani kama ina matokeo chanya kihivyo.
Meditation faida zake kiafya zinaelezeka kisayansi wewe unasema ni vitu ambavyo havina uhalisia?
 
Chumbani
🫵🏽🛌🏻🫵🏽
❗❗❗
▪︎ Chumba chako unacholala kina taarifa zako zote
▪︎ Kitanda chako kina taarifa zako zaidi wewe au mnaolala hapo
▪︎ Chumba chako kinahifadhi nguvu zako,baraka,mikosi na mambo ya kukufanikisha au kukufelisha yanaanzia chumbani kwako
▪︎ Chumbani panatakiwa kuwa safi na kusiwe na msongamano wa vitu
▪︎ Chumbani kitandani shuka ni vyema kutolewa ndani ya siku 3 na kufuliwa hata kama sio chafu punde baada ya kufanya tendo la ndoa kwa wana ndoa kesho yake na kufuliwa kwani kama kuna mtu mbaya akipata hata uzi au maji ya shuka mlilolalia hii dunia mtaiona chungu na kuchukiana vibaya sana kwa muda mrefu au kutengana kwa sababu zisizo na maana
▪︎ Husimpe mfanyakazi wa ndani(house girl) kufua mashuka ya kitanda unacholalia
▪︎ Chumba chako unacholala ni marufuku watu kuingia Ingia hovyo kama si watu wafuatao(watoto wako,mume/mke au baba yako na mama yako Mzazi kama wapo hai) hata dada yako,kaka shangazi ,rafiki(bff) ni mbaya kwenye maisha yako...Kama mtu amejawa na mambo mazito akiingia chumbani kwako chumba kita connect kama bluetooth na kubakiza mabalaa hapo....utaskia mtu anakwambia nimeingia hapa au nimelala lakini naskia chumba ni kizito
▪︎Wale wanaoenda lodge/Guest kama ni mwanamke nenda na mavazi yako kama kikoi au kanga tumia kutandika utapolala na kujifuta ukiisha oga...kuna lodge hawabadili mashuka uenda baada ya tendo na huyo mtu msiongeee/mkagombana au hasikupe hata hela ya asante...kwa wanaume unashangaa dhakari haifanyi kazi vyema wengine hufa
▪︎Chumbani kitandani usilale hapo na kuongea na mtu ukigombezana,kutukanana kwa simu au live utakua mtu wa hasira kila mara mpaka ukisafisha hapo!!!
▪︎Kama umeolewa au umeoa husilete mchepuko kwenye chumba unacholala na mwenza wako....(nadhani mnajua kwanini!!!)....hivyo basi wanawake msiende kulala kwenye vyumba vya watu sababu mke wake kasafiri shauri yako👋🏼
▪︎Kama Mume au Mke amekufa husilete mtu ghafla hapo ndani mwingine utamletea shida huyo mtu

Nitaendelea.....

~ Dogoli kinyamkela
IMG-20250117-WA0107.jpg
 
MWAKA MPYA
January Hii
🍇🤌🏿🍇
Fungua milango

Wakati January inaishia (Wakubwa ,Watoto,Wafanyakazi,wafanyabiashara,Ndoani,wanafunzi,wazazi nk)
▪︎Siku uliozaliwa(Juma3 - Jpili)
▪︎ Kama hukumbuki utafanya siku ya Jumamos saa sita Usiku) yaani kama kesho!!

Chukua zabibu 12,Ziweke mkononi funga Mikono
Ingia chini ya Meza kaa fumba macho Nuiza unachotaka kama ni kuhusu wewe,watoto wako,biashara,ndoa,mahusiano,kazi nk...!!!
Kila ukimaliza kunuiza kula Zabibu moja hadi ziishe
👋🏼Utafanya kwa siku 3 mfululizo toka siku hio
◇ Ingia chini ya Meza ukiwa na Vazi jeupe mfano kanzu,gauni,pensi,Chupi & sindiria au ukikosa Ingia ukiwa Uchi !

▪︎ Kama utafanya usiku kalale na usisemeshenane na mtu hadi asubui
▪︎ Kama ni mchana/Asubui endelea na kazi zako
▪︎ Husifanye Mapenzi hadi siku 3 hizo uzimalize

Mfano ulizaliwa siku ya ijumaa basi utafanya zoezi ijumaa,jumamos na Jumapili
 
KUKUZA UUME

Tafuta hili tunda liikaushe na saga iwe unga laini.

Weka vijiko vitatu vya mezani kwenye kikombe chako ongeza 500ml maji ya moto

changanya vizuri na unywe kila siku kabla ya kulala chochote kwa siku mfululizo hadi upate saizi na urefu unaotaka.

asili ina nguvu 🙏
1737228618099.jpg
 
Wakati mnaaminishwa kuwa uchawi ni ushirikina sio sayansi ,hivi ni baadhi ya vyuo duniani vinavyofundisha uchawi

1.chuo kikuu cha exeter: hutoa sanaa katika sayansi ya uchawi na miujiza

hii ilikuwa shahada ya kwanza ya uchawi inayotolewa na chuo kikuu cha uingereza.

2.chuo kikuu cha edinburgh: hutoa digrii ya parapsychology, ambayo inajumuisha kozi za uchawi, paranormal, na mada zingine.

3.chuo kikuu cha Amsterdam: inatoa utaalam katika mafundisho ya siri na uchawi.

4. chuo kikuu cha newcastle: kinatoa kozi ya uchawi

5. chuo kikuu cha pennsylvania press: kilichapisha kitabu kiitwacho uchawi, matambiko
1737230346204.jpg
, na muujiza
 
Back
Top Bottom