sheriff john brown
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 717
- 714
Itanibidi nitafute karembo ila kasiwe kachunaji kata nikondesha aseeMaji ya uzima hayo mkuu. [emoji12]
Mimi ni kijana wa 24 years umbo langu ni 1GB nataka ni angalau 4GB nisha kula mayai mboga za majani nyama mpka supu ya kitimoto na mtura si nenepi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Case closed!!
hahaKachukue mkopo bank weka rehani kitu chako cha thaman zaid
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji38] [emoji38]Badilisha ID yako utanenepa
kula chapati 3 asubui na chai vikombe 3Mimi ni kijana wa 24 years umbo langu ni 1GB nataka ni angalau 4GB nisha kula mayai mboga za majani nyama mpka supu ya kitimoto na mtura si nenepi
Pesa+kurizika maisha=KunenepaUnapesa?
Mkuu umeulizia Kipato chake kwanza?????ππππkula chapati 3 asubui na chai vikombe 3
saa nne kunywa uji bakuli 2
mchana kula ugali na mboga yoyote
usiku chips mayai na wali kuku
bia 4
leta mrejesho baada ya mwezi tu