Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Hata mimi pia mwemba urefu Nina futi5,9 kilo50 shemeji yenu akinitibua zinapukutika mpaka47 kuongeza kilo1 hunichukua miezi kama5 hivi, je kiafya ni hatari? ila sasa namekaa miaka kama22 bila hata maralia
 
Mimi ni kijana wa 24 years umbo langu ni 1GB nataka ni angalau 4GB nisha kula mayai mboga za majani nyama mpka supu ya kitimoto na mtura si nenepi
1470748217394.jpg
 
Jikubali,jiamini na ujipende.
Usifanye maisha yawe magumu kwa kufikiria wengine wanakutazama vipi.
Binafsi nina kilo zangu 50 na huwa hazibadiliki kiurahisi na niko happy na mwili wangu.
#BeYou
#DoYou
#LiveYou
Period [emoji135]
 
Badirisha milo kila mda,maji yausike sana, ila michemsho iwe mingi sana,dagaa,samaki,nyama,na vingine
 
Mimi ni kijana wa 24 years umbo langu ni 1GB nataka ni angalau 4GB nisha kula mayai mboga za majani nyama mpka supu ya kitimoto na mtura si nenepi
kula chapati 3 asubui na chai vikombe 3
saa nne kunywa uji bakuli 2
mchana kula ugali na mboga yoyote
usiku chips mayai na wali kuku
bia 4
leta mrejesho baada ya mwezi tu
 
Unene sio mzuri..utahangaika kuutafuta mwishi wa siku utaangukia kwny MAGONJWA YA MOYO na KISUKARI na huo unene USIUPATE NG'O..achana na hzo mambo tulia km ulivyo..mbona tupo wengi tu!![emoji2][emoji23][emoji23]
 
Yaani unayeyuka kama mshumaa ,mwishowe utatoweka mazima
 
Back
Top Bottom