Duuh! Mtu unaweza kuwa na stress na usijijue? HatariiMkuu me nadhani unaweza ukasema huna stress ila kumbe unastress sana.jaribu kuwa na Furaha na kupunguza mawazo...au tembelea hospitali nadhani utapewa ushauri unaoga a.
Lakini kumbuka kuna msemo kuwa hakuna mwembamba dunianiMkuu, kuna miili ya asili na ya kimaisha. Wa kwako, kama ulivyo wangu na wa Rais Kagame, ni mwili wa asili. Usilazimishe na kupata matatizo ambayo yatakuzidi nguvu.
Aje mwenzangu anipe mbinuMiss Natafuta, njoo basi umshauri mwenzetu analilia unene eti!
Huna loloteIli tuweze kukupa ushauri vizuri
Ila Miss Natafuta yeye analilia kupunguza wa kwakwe hahahahahahaAje mwenzangu anipe mbinu
Basi pambana kimwili chako watu wembamba mnaongoza kwa ukorofi na gubu ubishi ndo mahana kupata mwili ni vigumuHuna lolote
Wee kaka unaonekana mkorofi khaa! Mbona wengine wametoa ushauri na hawajaomba picha?Basi pambana kimwili chako watu wembamba mnaongoza kwa ukorofi na gubu ubishi ndo mahana kupata mwili ni vigumu
Heeheh! Unajidanganya shoga, wembamba ni mzuri but sio ndio uwe mwembamba sana! Mwanamke uwe na nyama ht kidogo jamaniiijaman una raha !mbona huo mwili ingawa sijakuona mtamu sana tu !unajua wembamba mnapendeza sana kimavazi kasoro madera tu ? dah i wish jaman niwe chembambaaaaaaaaaaa
Aje anipunguzie aiseeIla Miss Natafuta yeye analilia kupunguza wa kwakwe hahahahahaha
Heeheh! Unajidanganya shoga, wembamba ni mzuri but sio ndio uwe mwembamba sana! Mwanamke uwe na nyama ht kidogo jamaniii
Bora uwe slim but not skinny!dadangu naye ni mwembamba jaman ananiboaga !ananiuliza nakula nn bas mie moyo unakerekaaa !hahahah !mie ht hizo nyama nyama sizitak ! napenda kua slim walah ningekuwa mbali sanaaaaaaaaaa
Yaani kumbe unaamini porojo? Haya utafute unene, kila la heri!Lakini kumbuka kuna msemo kuwa hakuna mwembamba duniani
ShukraniYaani kumbe unaamini porojo? Haya utafute unene, kila la heri!
Unaweza ukajiona uko poa mkuu,I was thereDuuh! Mtu unaweza kuwa na stress na usijijue? Hatarii
Aah, sure? May beUnaweza ukajiona uko poa mkuu,I was there
Suree?? Ngoja nianze kujaribu hiyoaiseeee kuna jamaa yako alikuwa mwembaba sana , alikuwa yupo tu kitaa kwa vile alikataa shule, baada ya miaka kwenda akajiingiza kwenye daladala lao kufanyakazi na haikupita muda ikawa ndie mwenye kuchukua nauli kutoka kwa abiria, usiku kabla ya kufika kwao anapitia kwa muuza chipsi na mayai, alikuwa na order ya mayai sita kila siku haikumchukua hata miezi 3 akaanza kunenepa hadi leo anaitwa bonge
KG 40 kwa miaka 24 sio sawa japo sijajua na kimo chake.jaman una raha !mbona huo mwili ingawa sijakuona mtamu sana tu !unajua wembamba mnapendeza sana kimavazi kasoro madera tu ? dah i wish jaman niwe chembambaaaaaaaaaaa