Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Mkuu me nadhani unaweza ukasema huna stress ila kumbe unastress sana.jaribu kuwa na Furaha na kupunguza mawazo...au tembelea hospitali nadhani utapewa ushauri unaoga a.
Duuh! Mtu unaweza kuwa na stress na usijijue? Hatarii
 
Piga mayai matatu ya kukaanga na maziwa asubui..mchana kula ugali na nyama,jioni chipsi mayai na soda mirinda au soda yoyote yenye sukari,usiku kula wali nyama au wali samaki,kesho amkia kipolo cha wali asubui na silesi tatu za mkate zenye blueband,

mchana piga nyama robo na soda yenye sukari,jioni kunywa chai yenye sukar na usiku kula wali na nyama nyingi..yaan usicheze mbali na sukari,carbohydrate especially mkate,na protein yaan nyama na samaki...ndani ya miezi mitatu utanipa majib then tumia muda mwingi kupumzika ..NB..ni gharama sana kutafuta mwili mnene jipange
 
Mkuu, kuna miili ya asili na ya kimaisha. Wa kwako, kama ulivyo wangu na wa Rais Kagame, ni mwili wa asili. Usilazimishe na kupata matatizo ambayo yatakuzidi nguvu.
Lakini kumbuka kuna msemo kuwa hakuna mwembamba duniani
 
jaman una raha !mbona huo mwili ingawa sijakuona mtamu sana tu !unajua wembamba mnapendeza sana kimavazi kasoro madera tu ? dah i wish jaman niwe chembambaaaaaaaaaaa
Heeheh! Unajidanganya shoga, wembamba ni mzuri but sio ndio uwe mwembamba sana! Mwanamke uwe na nyama ht kidogo jamaniii
 
Heeheh! Unajidanganya shoga, wembamba ni mzuri but sio ndio uwe mwembamba sana! Mwanamke uwe na nyama ht kidogo jamaniii

dadangu naye ni mwembamba jaman ananiboaga! ananiuliza nakula nn bas mie moyo unakerekaaa !hahahah !mie ht hizo nyama nyama sizitak ! napenda kua slim walah ningekuwa mbali sanaaaaaaaaaa
 
dadangu naye ni mwembamba jaman ananiboaga !ananiuliza nakula nn bas mie moyo unakerekaaa !hahahah !mie ht hizo nyama nyama sizitak ! napenda kua slim walah ningekuwa mbali sanaaaaaaaaaa
Bora uwe slim but not skinny!
 
aiseeee kuna jamaa yako alikuwa mwembaba sana , alikuwa yupo tu kitaa kwa vile alikataa shule, baada ya miaka kwenda akajiingiza kwenye daladala lao kufanyakazi na haikupita muda ikawa ndie mwenye kuchukua nauli kutoka kwa abiria, usiku kabla ya kufika kwao anapitia kwa muuza chipsi na mayai, alikuwa na order ya mayai sita kila siku haikumchukua hata miezi 3 akaanza kunenepa hadi leo anaitwa bonge
 
Suree?? Ngoja nianze kujaribu hiyo
 
Back
Top Bottom