Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Vp wazazi nao ni wembamba au!? Pia kumbuka USIUTAFUTE UNENE just live ur normal life mwili utakuja tu wenyewe.

Kuna baadhi ya watu huwa wananenepa kuanzia 30s au wengine baada ya KUJIFUNGUA au kuolewa..so usijare mpendwa..me mwenyewe napenda vimodo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaa mimi nataka kupunguza uzito watu wanautaka uzito kweli tupo tofauti
 
Mkuu hata miezi mitatu haifiki matokeo ni wiki mbili tuu atakuambia jinsi atakavyoweza kuona tofauti
 
Seriouly usimeze midawa yeyote ile. Utaja jiharibu bure. Mimi on my late teens nlikuwa hvyo hvyo kama unavyomuona kagame i had the same body make ila sasa hivi hata ukiniambia kitambi cha kishkaj nimekipata pata vp sijui hata.

Urefu i’m 6.0 feet, i have really gained a body but im NOT obese (sio manyama uzembe). I think just have a good meal (usile vitu vya kukaanga kama ni nyama pendelea mchemsho or grilled meat) plus avoid anything that makes u unhappy lazima utaongezeka tu.

Kikubwa make sure u have a good pockect money for the little good things life has to offer having a good life doesn’t necessarily mean umiliki billions.
 
Wazazi wana miili yao mikubwa tuu!

Sijui ni kwamba walikua hawanilishi vzr wanakula wao tuu...

Unapenda? Ngoja tuyajenge lool
 
Eee Mungu wengine tunataka tupungue,,we wataka unene,,asee usokuwa nacho ndio wakitamani
 
Anza kula kitimoto kwa wingi mdogo wangu utanenepa hadi ujikatae mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…