Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Habarini JF Doctors!

Husika na kichwa cha habari hapo juu..

Mimi ni msichana wa miaka 24! Ila mwili wangu hausadifu miaka yangu!
Yaani ni mwembamba mno.

Na hata kilo zangu ni utata jamani nina kilo 40!
Nilishawahi kutumia vidonge vya kuongeza kilo na hamu ya kula but haijasaidia kitu!

Honestly, sina stress, sina roho mbaya na wala sio mvivu kula!

Naomba nielezwe kama kuna dawa ya uhakika ya kuongeza mwili na kilo!

Nitashukuru sana!
Mwenye roho mbaya hajitaji...pambana tu na hali yako....
 
Kwani mpumbavu ni mtu gani? Kwa swali alilouliza na uzi nilioutoa huoni kama ni mpumbavu?
ulishindwa nini kumjibu kistaarabu?

Ungemwambia tu kama lipo au halipo au ungepita kimya kwa faida yako.

Humu wachangiaji wengi wakiona lugha zisizokuwa na stara hushindwa kuchangia na hivyo utakuwa unajikosha mambo mazuri bure.
 
Daah mkuu nawe umenikomalia! Aya sawa sitakuwa nawajibu kabisa!

Happy??
 
Roho mbaya unaijua?
roho mbaya ni kutoridhika na maisha yako...
usiuchoshe moyo wako ,bwaga moyo kula unachopenda sio maharage na wali daily....
kula chochote unachotaka ukitaka chips,soda,sijui piza
kama una bwana kakuacha tupa huko
bosi anakununia tupa kule
yani bwaga moyo mpaka mwisho.

mm nilikua mwembamba sana kidogo mbavu zihesabike, nilikuaga kama nna ngoma au Tb

lakini baada ya kugundua kuwa nauchosha moyo wangu
saivi nnavokwambia niko kama labda jokate,mtindi mtindi shingo kama kitimoto...

jiachie dada kama kuna japo linakutatiza litoe ,bwaga moyo kula vitu vinono utanenepa dada...
mm saivi nataka kupungua nashindwa maana hata nisipokula nmebwaga moyo
Hahahahaaaa
Shingo ka Kitimoto
Inshort kuutafuta mwili rahisi xana kuliko kuupunguza
 
Ridhika jinsi ulivyo tu inatosha kwa maana unaweza kuongeza mwili ukaja kujutia hapo baadae
 
Hahahahaaaa
Shingo ka Kitimoto
Inshort kuutafuta mwili rahisi xana kuliko kuupunguza
barabara.
mm mpaka najiuliza ilikuwaje nilikonda
kupata mwili ni veruvery simple...
kuuondoa sasa ndio kazi ,maana huwezi kuacha kula na kubwa zaidi huwezi kuubana moyo hapo ndo pagumu
 
Piga mayai matatu ya kukaanga na maziwa asubui..mchana kula ugali na nyama,jioni chipsi mayai na soda mirinda au soda yoyote yenye sukari,usiku kula wali nyama au wali samaki,kesho amkia kipolo cha wali asubui na silesi tatu za mkate zenye blueband,mchana piga nyama robo na soda yenye sukari,jioni kunywa chai yenye sukar na usiku kula wali na nyama nyingi..yaan usicheze mbali na sukari,carbohydrate especially mkate,na protein yaan nyama na samaki...ndani ya miezi mitatu utanipa majib then tumia muda mwingi kupumzika ..NB..ni gharama sana kutafuta mwili mnene jipange
Naona unammwandalia njia kulekea kwenye Magonjwa Yasiyokuwa ya Kuambukizwa.
 
Roho mbaya unaijua?
roho mbaya ni kutoridhika na maisha yako...
usiuchoshe moyo wako ,bwaga moyo kula unachopenda sio maharage na wali daily....
kula chochote unachotaka ukitaka chips,soda,sijui piza
kama una bwana kakuacha tupa huko
bosi anakununia tupa kule
yani bwaga moyo mpaka mwisho.

mm nilikua mwembamba sana kidogo mbavu zihesabike, nilikuaga kama nna ngoma au Tb

lakini baada ya kugundua kuwa nauchosha moyo wangu
saivi nnavokwambia niko kama labda jokate,mtindi mtindi shingo kama kitimoto...

jiachie dada kama kuna japo linakutatiza litoe ,bwaga moyo kula vitu vinono utanenepa dada...
mm saivi nataka kupungua nashindwa maana hata nisipokula nmebwaga moyo
Bwana kakuacha?!
 
Back
Top Bottom