MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio.Nikamtusi? Unajua matusi mkuu?
Hahahaaaaah unatembea ntentemeteeee eish macho kodooo
Kumdhalilisha? Hebu toa nukuu nilimtukanaje labda?Ndio.
Tusi ni neno lolote lile lenye lengo la kumdhalilisha mtu.
Yeye kakuuliza swali nikashangaa unamtolea povu.
pitia post no 15.Kumdhalilisha? Hebu toa nukuu nilimtukanaje labda?
Mwenye roho mbaya hajitaji...pambana tu na hali yako....Habarini JF Doctors!
Husika na kichwa cha habari hapo juu..
Mimi ni msichana wa miaka 24! Ila mwili wangu hausadifu miaka yangu!
Yaani ni mwembamba mno.
Na hata kilo zangu ni utata jamani nina kilo 40!
Nilishawahi kutumia vidonge vya kuongeza kilo na hamu ya kula but haijasaidia kitu!
Honestly, sina stress, sina roho mbaya na wala sio mvivu kula!
Naomba nielezwe kama kuna dawa ya uhakika ya kuongeza mwili na kilo!
Nitashukuru sana!
ulishindwa nini kumjibu kistaarabu?Kwani mpumbavu ni mtu gani? Kwa swali alilouliza na uzi nilioutoa huoni kama ni mpumbavu?
Daah mkuu nawe umenikomalia! Aya sawa sitakuwa nawajibu kabisa!ulishindwa nini kumjibu kistaarabu?
Ungemwambia tu kama lipo au halipo au ungepita kimya kwa faida yako.
Humu wachangiaji wengi wakiona lugha zisizokuwa na stara hushindwa kuchangia na hivyo utakuwa unajikosha mambo mazuri bure.
HahahahaaaaRoho mbaya unaijua?
roho mbaya ni kutoridhika na maisha yako...
usiuchoshe moyo wako ,bwaga moyo kula unachopenda sio maharage na wali daily....
kula chochote unachotaka ukitaka chips,soda,sijui piza
kama una bwana kakuacha tupa huko
bosi anakununia tupa kule
yani bwaga moyo mpaka mwisho.
mm nilikua mwembamba sana kidogo mbavu zihesabike, nilikuaga kama nna ngoma au Tb
lakini baada ya kugundua kuwa nauchosha moyo wangu
saivi nnavokwambia niko kama labda jokate,mtindi mtindi shingo kama kitimoto...
jiachie dada kama kuna japo linakutatiza litoe ,bwaga moyo kula vitu vinono utanenepa dada...
mm saivi nataka kupungua nashindwa maana hata nisipokula nmebwaga moyo
Underweight ni tatizo mkuu! Miaka 24 kilo 40??Ridhika jinsi ulivyo tu inatosha kwa maana unaweza kuongeza mwili ukaja kujutia hapo baadae
Shingo ya kitimoto?Hahahahaaaa
Shingo ka Kitimoto
Inshort kuutafuta mwili rahisi xana kuliko kuupunguza
thts all mamy !umesema ukwel kbs tupu ! naishi km ww sijali kitu aiseee !
weka shida chini kwa muda.Hahahha!
Nimekupenda bibiee
Ngoja nianze kupotezea ya ulimwengu sasa
barabara.Hahahahaaaa
Shingo ka Kitimoto
Inshort kuutafuta mwili rahisi xana kuliko kuupunguza
Duuuh pole sana..tafuta wataalam wa diet wakufundisheUnderweight ni tatizo mkuu! Miaka 24 kilo 40??
Naona unammwandalia njia kulekea kwenye Magonjwa Yasiyokuwa ya Kuambukizwa.Piga mayai matatu ya kukaanga na maziwa asubui..mchana kula ugali na nyama,jioni chipsi mayai na soda mirinda au soda yoyote yenye sukari,usiku kula wali nyama au wali samaki,kesho amkia kipolo cha wali asubui na silesi tatu za mkate zenye blueband,mchana piga nyama robo na soda yenye sukari,jioni kunywa chai yenye sukar na usiku kula wali na nyama nyingi..yaan usicheze mbali na sukari,carbohydrate especially mkate,na protein yaan nyama na samaki...ndani ya miezi mitatu utanipa majib then tumia muda mwingi kupumzika ..NB..ni gharama sana kutafuta mwili mnene jipange
Akishanenepa ataanza mazoezi mkuuNaona unammwandalia njia kulekea kwenye Magonjwa Yasiyokuwa ya Kuambukizwa.
Sema unataka chura tuHeeheh! Unajidanganya shoga, wembamba ni mzuri but sio ndio uwe mwembamba sana! Mwanamke uwe na nyama ht kidogo jamaniii
Bwana kakuacha?!Roho mbaya unaijua?
roho mbaya ni kutoridhika na maisha yako...
usiuchoshe moyo wako ,bwaga moyo kula unachopenda sio maharage na wali daily....
kula chochote unachotaka ukitaka chips,soda,sijui piza
kama una bwana kakuacha tupa huko
bosi anakununia tupa kule
yani bwaga moyo mpaka mwisho.
mm nilikua mwembamba sana kidogo mbavu zihesabike, nilikuaga kama nna ngoma au Tb
lakini baada ya kugundua kuwa nauchosha moyo wangu
saivi nnavokwambia niko kama labda jokate,mtindi mtindi shingo kama kitimoto...
jiachie dada kama kuna japo linakutatiza litoe ,bwaga moyo kula vitu vinono utanenepa dada...
mm saivi nataka kupungua nashindwa maana hata nisipokula nmebwaga moyo