Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

jaman una raha !mbona huo mwili ingawa sijakuona mtamu sana tu !unajua wembamba mnapendeza sana kimavazi kasoro madera tu ? dah i wish jaman niwe chembambaaaaaaaaaaa

Haha umenkumbusha wimbo wa dudubaya unaosema "mwembamba kuvaa dela ni sawa na mifupa kujifunika shuka"
 
Habarini JF Doctors!

Husika na kichwa cha habari hapo juu..

Mimi ni msichana wa miaka 24! Ila mwili wangu hausadifu miaka yangu!
Yaani ni mwembamba mno.

Na hata kilo zangu ni utata jamani nina kilo 40!
Nilishawahi kutumia vidonge vya kuongeza kilo na hamu ya kula but haijasaidia kitu!

Honestly, sina stress, sina roho mbaya na wala sio mvivu kula!

Naomba nielezwe kama kuna dawa ya uhakika ya kuongeza mwili na kilo!

Nitashukuru sana!
Ukipata pesa utapata na mwili
me mwenyew mwembamba ila pesa inapokuja hua nakua na mwili hadi naona kero
 
Back
Top Bottom