Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Wewe pata tu vitamin B comlex upate hamu ya kuka ukishusha msosi hakuna mwembamba mbele ya msosi. Matajiri wembamba ni wao tu wametaka.
 
Habarini JF Doctors!

Husika na kichwa cha habari hapo juu..

Mimi ni msichana wa miaka 24! Ila mwili wangu hausadifu miaka yangu!
Yaani ni mwembamba mno.

Na hata kilo zangu ni utata jamani nina kilo 40!
Nilishawahi kutumia vidonge vya kuongeza kilo na hamu ya kula but haijasaidia kitu!

Honestly, sina stress, sina roho mbaya na wala sio mvivu kula!

Naomba nielezwe kama kuna dawa ya uhakika ya kuongeza mwili na kilo!

Nitashukuru sana!
Baki hivyo hivyo, wala usiulazimishe mwili kuongezeka, kwani ni shida kuudhibiti unapoanza kuumuka.
 
Back
Top Bottom