MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
ujue amani hakupi mtu ,unajipa mwenyewe
kuna watu hawajipi amani kabisa
100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujue amani hakupi mtu ,unajipa mwenyewe
kuna watu hawajipi amani kabisa
Hilo umesema weweSema unataka chura tu
Hilo umesema wewe
Itakua huna mkuu, mbona imekukaa sana?Ww hutak chura?
kwa mfano nasemeaBwana kakuacha?!
Hahahahahakwa mfano nasemea
jamaa gani[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha
Nlitaka kushangaa unamkana yule jamaa hadharani
Yule wa magirofanijamaa gani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
AkhaaaaYule wa magirofani
[emoji1] [emoji1]
Akhaaaa
sina bwana mieee
soon nataka nitafute mume wa kunioa MMUMh....acha uongo ww
soon nataka nitafute mume wa kunioa MMU
sikuwa nahitajiMiaka yote hiyo hujatafuta tu?!
Y?!sikuwa nahitaji
Baki hivyo hivyo, wala usiulazimishe mwili kuongezeka, kwani ni shida kuudhibiti unapoanza kuumuka.Habarini JF Doctors!
Husika na kichwa cha habari hapo juu..
Mimi ni msichana wa miaka 24! Ila mwili wangu hausadifu miaka yangu!
Yaani ni mwembamba mno.
Na hata kilo zangu ni utata jamani nina kilo 40!
Nilishawahi kutumia vidonge vya kuongeza kilo na hamu ya kula but haijasaidia kitu!
Honestly, sina stress, sina roho mbaya na wala sio mvivu kula!
Naomba nielezwe kama kuna dawa ya uhakika ya kuongeza mwili na kilo!
Nitashukuru sana!
nafuga bikira ikue
nafuga bikira ikue