Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Mkuu ,km upo ktk chama pendwa cha CHAPUTA jiondoe kabisa maana ile shughul inapunguza sna kilo

Then piga nyama choma na ndizi choma pamoja na kiepe kwa wing mbona utajaa
 
Mkuu ,km upo ktk chama pendwa cha CHAPUTA jiondoe kabisa maana ile shughul inapunguza sna kilo

Then piga nyama choma na ndizi choma pamoja na kiepe kwa wing mbona utajaa
Hahahaaa, mkuu bahati nzuri sijajiunga huko nikizidiwa huwa natafuta makoloni yangu naburudika.
 
Mbona unaonekana ni mrefu sana na uzito hauendani nawe. Halafu inaonekana umeathirika kisaikolojia juu ya jambo hili.

Mi nna 166cm tu nina kg 66.

Unahitaji kuwaona wanasaikolojia zaidi kwanza.
Aisee kweli tuko tofauti mi nina 167cm na 84kg naziona ni nyimgi sana mkuu. Na plan nianze mazoezi hivi karibuni
 
Aisee kweli tuko tofauti mi nina 167cm na 84kg naziona ni nyimgi sana mkuu. Na plan nianze mazoezi hivi karibuni
Yaani wewe utakuwa bonge sana bro. Kwa urefu huo hauendani na uzito huo. Max kg 70
 
Vitamin B complex!
Utakula kama mchwa walahi
 
Yaani wewe utakuwa bonge sana bro. Kwa urefu huo hauendani na uzito huo. Max kg 70
Watu wananiona ni mnene kiasi ila mwili wangu ni wakimazoezi mascular. Thanks ngoja nizingatie mazoezi na kupunguza bia
 
Sasa mwanangu na ufupi huo I cant imagine.
Yaani mkuu we acha tu. Sasa nizingatie aina gani hasa ya mazoezi ili nizipunguze fasta hizi kilo? Mbaya zaidi kitambi kinaninyemelea
Nafanya jogging lakini wapi, sitaki kurudi gym coz I don't want to look huge than how am now..
 
Change life style yako....anza na vyakula unavyokula. Ubonge kwa asilimia kubwa unasababishwa na ulaji.
 
Kwenye mlo wako weka na list ya kitimoto ndani ya mwezi mmoja utakuwa gym unapunguza uzito
 
Una allergy yoyote na maziwa au vyakula vinavyotokana na ngano..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…