Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Mkuu ,km upo ktk chama pendwa cha CHAPUTA jiondoe kabisa maana ile shughul inapunguza sna kilo

Then piga nyama choma na ndizi choma pamoja na kiepe kwa wing mbona utajaa
 
Mkuu ,km upo ktk chama pendwa cha CHAPUTA jiondoe kabisa maana ile shughul inapunguza sna kilo

Then piga nyama choma na ndizi choma pamoja na kiepe kwa wing mbona utajaa
Hahahaaa, mkuu bahati nzuri sijajiunga huko nikizidiwa huwa natafuta makoloni yangu naburudika.
 
Mbona unaonekana ni mrefu sana na uzito hauendani nawe. Halafu inaonekana umeathirika kisaikolojia juu ya jambo hili.

Mi nna 166cm tu nina kg 66.

Unahitaji kuwaona wanasaikolojia zaidi kwanza.
Aisee kweli tuko tofauti mi nina 167cm na 84kg naziona ni nyimgi sana mkuu. Na plan nianze mazoezi hivi karibuni
 
Aisee kweli tuko tofauti mi nina 167cm na 84kg naziona ni nyimgi sana mkuu. Na plan nianze mazoezi hivi karibuni
Yaani wewe utakuwa bonge sana bro. Kwa urefu huo hauendani na uzito huo. Max kg 70
 
Vitamin B complex!
Utakula kama mchwa walahi
 
Yaani wewe utakuwa bonge sana bro. Kwa urefu huo hauendani na uzito huo. Max kg 70
Watu wananiona ni mnene kiasi ila mwili wangu ni wakimazoezi mascular. Thanks ngoja nizingatie mazoezi na kupunguza bia
 
Sasa mwanangu na ufupi huo I cant imagine.
Yaani mkuu we acha tu. Sasa nizingatie aina gani hasa ya mazoezi ili nizipunguze fasta hizi kilo? Mbaya zaidi kitambi kinaninyemelea
Nafanya jogging lakini wapi, sitaki kurudi gym coz I don't want to look huge than how am now..
 
Change life style yako....anza na vyakula unavyokula. Ubonge kwa asilimia kubwa unasababishwa na ulaji.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 mpaka sasa, urefu wangu ni 180cm, uzito wangu ni 60kg mimi ni mwembamba sana ( bones) hali hii naona ni kero kwangu kwa sababu wembamba siyo asili yangu ni hali ambayo imeanza kunipata tangu nilivyofikisha miaka 25 nilivyokuwa chini ya hapo nilikuwa nina kg kati ya 64-66kgs

Naomba ushauri nifanyeje ili niweze kuongezeka unene (uzito) angalau nifikishe 65+kg, ili nifurahie maisha? Chakula najitahidi sana kula na napenda kula, pia nilikuwa napenda kufanya mazoezi ya mbio kila siku jioni nilikimbia kutoka mwenge to Afrikana na kurudi, baada ya kumwona daktari kanizuia kabisa ili nimantain uzito, nina mwaka na nusu nimeacha mazoezi kabisa lakini bado uzito wangu umesimamia 60kg.
Kwenye mlo wako weka na list ya kitimoto ndani ya mwezi mmoja utakuwa gym unapunguza uzito
 
Una allergy yoyote na maziwa au vyakula vinavyotokana na ngano..?
 
Back
Top Bottom