Hapo ndio mtihani ulipo appetite yangu ya kutafuta sana yani na naweza kupata hamu na kitu nikitafute nikile nikianza kula tu hamu inaondoka.Ongeza jitihada za kula...ila masecond born uwa na nyama sana kupita dada zao.
Kuna miili haina adabu kabisaMie nishakula vyote hvyo kasoro hizo bia tena sio mwezi ila miezi cha ajabu nimepungua zaidi...
Aisee kuna miili mingine kunenepa ni mtihani
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu vidonge vile wanatangaza huko insta.Hapo ndio mtihani ulipo appetite yangu ya kutafuta sana yani na naweza kupata hamu na kitu nikitafute nikile nikianza kula tu hamu inaondoka.
Sinadepal unamtoto?
Auna umri gan?
a)18_25
b)26_30
c)30_35
Acha matusiJidanganye
Kwanza inategemea huo wembamba ni wa aina ipi ...kuna mwembamba mwenye nyama na wale waliokauka
Ndo mavazi yangu hayo wakati huuHalafu naonaga kama dera limekaa kama culture ya kizaramo zaramo hivi. Sijui kwa nini nikiona mtu kavaa namwona mzaramo.
Ila kwa Mnyika nimeamini hakuna kimbau mbau chini ya juaDawa ya ukweli ya kukufanya unenepe mpaka uamue kukimbilia gym ni KURIDHIKA TU NA MAISHA. Uwe na hela, usiwe na hela! Wewe ridhika tu. Muangalie John Mnyika na Paul Makonda wa miaka 10 iliyopita, na wa sasa uone.
Ingawa kuna wengine wameumbwa hivyo. Mfano Rais Mtaafu wa Marekani Barack Obama, nk.
ukijifungua ukatuona utanenepa bado mbichiiiiiiiiiiii mdogoooo utapata na tako kwenu yap ulisema
Huo muda wa kusubiri mpaka nizae ndio sinaukijifungua ukatuona utanenepa bado mbichiiiiiiiiiiii mdogoooo utapata na tako kwenu yap ulisema
HahahaHeeee
Maxence Melo
Active
Invisible
SIJAANZISHA HUU UZI INAKUAJE NAONEKANA MIMI NDIE NIMEFUNGUA UZI
WHAT'S GOING ON ???
Kama Arusha...utarudi nayo ulipotokaI can imagine, hivi unajua haya mavazi popularity yake ni maeneo na maeneo.
Naamini kuna mikoa ukipeleka huwezi kuuza.