Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Dawa ya ukweli ya kukufanya unenepe mpaka uamue kukimbilia gym ni KURIDHIKA TU NA MAISHA. Uwe na hela, usiwe na hela! Wewe ridhika tu. Muangalie John Mnyika na Paul Makonda wa miaka 10 iliyopita, na wa sasa uone.

Ingawa kuna wengine wameumbwa hivyo. Mfano Rais Mtaafu wa Marekani Barack Obama, nk.
Ila kwa Mnyika nimeamini hakuna kimbau mbau chini ya jua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo uchukue.....
unene.jpg
 
Back
Top Bottom