Galbi
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 406
- 616
Hapo ndio mtihani ulipo appetite yangu ya kutafuta sana yani na naweza kupata hamu na kitu nikitafute nikile nikianza kula tu hamu inaondoka.Ongeza jitihada za kula...ila masecond born uwa na nyama sana kupita dada zao.