Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Zawadi gani mbaya bhanaa
Wakutumishe Wewe Meseji PM kwng hiy ndio itakua zawad[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua kuzawadiwa zawadi ya uzi ni bahati ambayo Ni watu wawili tu mmewahi kuipata humu.
Wewe na ZoΓ«

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua kuzawadiwa zawadi ya uzi ni bahati ambayo Ni watu wawili tu mmewahi kuipata humu.
Wewe na ZoΓ«

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hata yeye amewahi fanyiwa hivyo kumbe!!
Me sioni kama ni zawadi hiy, zawad uifirahie bwana eeeh
Nidondokewe tuu na li-PM nikachinje Jogoo mie [emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo jogoo tutakula wote?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ohoo unauliza Makofi Polisi
Of course YES why not Lazma tule wote Yani, Niangukiwa tuu na Li-PM Lako [emoji38]
Tena we leave nothing there Mpk utumbe sieti tunagonga [emoji38]??
 
Sawa nitaweka maelezo.
 
Huyu Depal anatamani sana kuwa na visoap dish lakini haez. Kashatumia chia seeds na mazoez lakini bado anaumuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. tatizo anapenda vinono Depal hii timu huingii miaka elfu..tuache na Saint Anne
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimekunywa hadi soup ya konokono lakini hali bado ngumu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…