Mambo mengine ni ajali kazini πππ nina gauni refu la kitenge, nilivaa siku hiyo limetoka kwa fundi nikasalia christmas ya mwaka 2018 hadi leo sijalirudia. Na nilipendeza sema ndio vile tu sina mood na nguo ndefu.Hata mimi ningecheka.
Sasa nguo inakudondoshaje jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah[emoji1787]
Nguo ndefu tuachieni wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimbaombao mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo mengine ni ajali kazini [emoji23][emoji23][emoji23] nina gauni refu la kitenge, nilivaa siku hiyo limetoka kwa fundi nikasalia christmas ya mwaka 2018 hadi leo sijalirudia. Na nilipendeza sema ndio vile tu sina mood na nguo ndefu.
Navaaga najicheck kwa kioo kisha navua
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii badala unenepe unaweza kujikuta unavimba mwisho unapasuka maana hii ni kama fomula ya kuunda bom
Sasa ungekuwa unavaa Kama hizi zangu nadhani zingekuwa zinakuangusha kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah
Hongera mama Mchuchu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh
[emoji38][emoji38][emoji38]
hahaaa makande hayashibishi..unaweza ukala sufuria zima ila baada ya nusu saa una njaa tena
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Anna bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante
Natanguliza shukrani zangu kwanza[emoji847]
Nataka hilo kwanza halafu mengine yatafwata
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitanii mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I know you aren't joking, that's Good Spirit [emoji3][emoji2][emoji2]
daah...mimi ndo ata sijui nifanyeje...hakuna chochote kinachoonesha kuwa mm ni mtu mzima...imagine ni mfupi, mwembamba, sura ya kitoto...umri wenyew umesonga ila akija mtoto ww 2004 ananizid na ajui kama mimi ni kaka uke...nina dogo tumepishana miaka miwili ila kashaniacha mbali sana...nikifata na bro watu wanahisi ndo baba yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jikubali tu mkuu.daah...mimi ndo ata sijui nifanyeje...hakuna chochote kinachoonesha kuwa mm ni mtu mzima...imagine ni mfupi, mwembamba, sura ya kitoto...umri wenyew umesonga ila akija mtoto ww 2004 ananizid na ajui kama mimi ni kaka uke...nina dogo tumepishana miaka miwili ila kashaniacha mbali sana...nikifata na bro watu wanahisi ndo baba yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume hutakiwi kunenepa,bali unatakiwa uwe na mwili wenye afya; chukulia mfano umenenepa sana ukawa unavaa suruali ya kitambaa.
Saint AnneSubiri utanenepa muda ukifika. Wala usiutamani.
Na ukija usije ukalia ukasema unataka kukonda.
Me kabla sijaolewa nilikuwa na kg around 48 to 50. Saivi ninakaribia kg 80. Kupunguza kg 1 tu ishu. Natamani nifike walau 60 kg lkn meshindwa. [emoji26]