Kwa mwenye kujua wapi nitapata dawa ya kuongeza unene wa mwili naomba tuwasiliane.
Asubuhi kula vitumbua na mayai ya kizungu plus soda,mchana chipsi yai plus soda n usiku chipsi yai plus soda...fululiza wiki nzima mlo...hiyo menu kwa kutaka utipwatipwa...
Kwa mwenye kujua wapi nitapata dawa ya kuongeza unene wa mwili naomba tuwasiliane.
Dah! Hii nimeipenda sana mkubwa!Simple... just eat anything that comes your way without a timetable..! I garantee you results within first 2months.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
unataka kunenepa ili iweje ? .
sema hapa bana na sie wengine tujue maana wengi tunataka kunenepa
distributor are you serious...natamani sana kuwa mnene nitakuchekisema hapa bana na sie wengine tujue maana wengi tunataka kunenepa