Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Habarini JF Doctors!

Husika na kichwa cha habari hapo juu..

Mimi ni msichana wa miaka 24! Ila mwili wangu hausadifu miaka yangu!
Yaani ni mwembamba mno.

Na hata kilo zangu ni utata jamani nina kilo 40!
Nilishawahi kutumia vidonge vya kuongeza kilo na hamu ya kula but haijasaidia kitu!

Honestly, sina stress, sina roho mbaya na wala sio mvivu kula!

Naomba nielezwe kama kuna dawa ya uhakika ya kuongeza mwili na kilo!

Nitashukuru sana!
Siyo mzima wewe, watu wanavyoangaika kupunguza mwili wewe eti uongeze??

Mwenyewe niko na 50kgs, natafuta namna ya kuongeza akili zaidi na zaidi siyo mwili
 
Kwenda zako huko unataka kila mtu awe na mawazo ya kuwa mwembamba??

Na ndo Nishanenepa sasa unatakaje??
 
Basi pambana ba hali yako, utakuwa ulikuwa huna chura..[emoji3][emoji3][emoji3] shida chura ya kulazimisha huwa inakuwa proportional na tumbo hahahah utakuwa km kiboko sasa..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Kwani kipi kitaharibika hata nikiwa kama nyumbu!
 
Very simple kupata mwili,chukua mayai mawili yachemshe then chemsha maziwa then changanya maziwa yaliyochemshwa na mayai yaliyochemshwa mpaka iwe kama uji ,kunywa huo mchanganyiko kila siku ndani ya mwezi,utapata mwili:noted mwili au uzito unaendana kimo chako
 
umenifanya nicheke...kasoro kanzu tu...hahahaaa
teh teh !nautaman huo mwili kiaina ! nitakuwa nalipuka na vivazi jaman uwii ! mtu mnene ukivaa gauni mbano ukikaa mapaja yote nje !macho kodo !mwembamba aku
 
Habarini JF Doctors!

Husika na kichwa cha habari hapo juu..

Mimi ni msichana wa miaka 24! Ila mwili wangu hausadifu miaka yangu!
Yaani ni mwembamba mno.

Na hata kilo zangu ni utata jamani nina kilo 40!
Nilishawahi kutumia vidonge vya kuongeza kilo na hamu ya kula but haijasaidia kitu!

Honestly, sina stress, sina roho mbaya na wala sio mvivu kula!

Naomba nielezwe kama kuna dawa ya uhakika ya kuongeza mwili na kilo!

Nitashukuru sana!
we njoo kwangu wiki si nyingi jinsi nilivyo mtaalamu wa kupika kitimoto rost
 
Ukishapika unauza huwa unagawa bure?
mazingira na upikaji pia unaweza kuto kufanya kulizika na chakura au hata watu wanao kuzunguka.sifanyi biashara ila ndo chakula kinacho nenepesha fasta
 
Haya uwe unanitumia ukimaliza kupika[emoji12] [emoji12]
 
Unahangaika NN sikuizi kuna machupi ya misambwanda nunuawa uvae piga na matiti jeki hapo utawin
 
pata muda wa kupumzika sana mchana.penda kula hovyo hovyo hasa usipokuwa na njaa kwa usiku kula kuanzia saa tatu na kuendelea,baada ya mwezi leta ushuhuda
 
Back
Top Bottom