Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

'Mzig'o ukiongezeka hata wanawake wenzako watakusengenya kwa kukuonea gere.
Haha

Nina best tuliyejuana ukubwani, yule binti alikuwa hajawahi kuniona nimenenepa last year kwenye March hivi nikakukutana nae hakuamini alivyoniona 😀😀😀 mpaka akawa ananitania "shost siku hizi anamwaga kwa nyuma nn maana me nikinenepa ni kuanzia kiunoni kushuka chini + kakitambi ka kuvalia high waist na mashavu kiasi....juu nabaki slim tu pia no visoup dish mpaka raha kujiangalia kwenye kioo

Ila ule mwili umepotea na haujarudi hadi leo 😀😀😀
Kwenye sept hivi last year niliumwa jino lilinitesa kula nashindwa yan ilikuwa mahangaiko tu na ndio nikapungua mpaka sasa najiona mwembamba....nipo najitahidi mwili urudi ila nao unanikosea tu adabu
 
Eti waliokauka[emoji23][emoji23] ila duniani kuna mambo, wanene wanatamani kupungua, na wembamba wanatamani kunenepa basi tabu tupu
Dunia uwanja wa vita
Screenshot_20200425-080648.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee embu ridhika shoga angu au try kuwa unakunywa smoothie ya maziwa mtindi na ndizi za kuiva na asali kidogo inaongeza mwili.. maybe utawezana


Sent using Jamii Forums mobile app
Mtindi ule wa azamu au mtindi wa man made?
Me nakunywaga sana yoghurt zile za Asas,, kuna kipindi home mmama mmoja alikuwa analeta aliotengeneza mwenyewe nilipata shavu asee ila sasa huku nilipo sina access ya kupata wa man made..labda mtindi ule mtu anagandisha mwenyewe

Hiyo smoothie nitajaribu maana huku ndizi ni nyingi
 
Back
Top Bottom