Fahamu,mwanamke haridhiki wala hatosheki

Fahamu,mwanamke haridhiki wala hatosheki

Nadhani heading ingekuwa binadamu haridhiki, kwa sababu hayo unayoyasema hata sisi wanaume tunayo ngoma droo bwana
 
Usijidanganye mwanamme mwenzangu kuwa kuna siku utamridhisha mwanamke kwa lolote,kuanzia kwenye kumgegeda mpaka masuala ya kawaida,
wanawake wengi wao akili yao kama kuku,ukimpa mchele juu atapekua na chini zaidi.
Kwa hiyo mwanamme mwenzangu penda 45 tu,zingine jipende mwenyewe au wapende wanao,kama hayajakukuta siku yakikukuta ndio utajua.
Usione baadhi ya watu wanaishi single man ukawaona wajinga,waulize wakwambie.
Na nyie wanawake mnahangaika nini? Ona sasa mnafanywa incubator,mnazalishwa mtu anasepa,wewe unalea mtoto akifika miaka saba baba mtoto anabeba mwanae,utazalishwa na wangapi?
Mtu Kashatendwa hapa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] Ukome Kuonga ..Siku nyingine pesa yako Ipeleke kwenye kununua hisa.. Anza Na Dangote Cement Mapema..
 
Nawakubali watu kama wewe, mapenzi haya takiwi kutunyima raha kiasi cha kuatamani kufa
Alivyokua mjinga na roho mbaya yule mwanamke akawa anarudi rudi kunitest imani. Akakutana na mi chuma cha Reli...mbishi nikisha kataa nimekataa.....sigeuki nyuma.

Namuona anatanga tanga tu huko na mm niko na dem mwingine mrembo mwenye standards anayeni heshimu na kuni value sana (ananijua fika character yangu ilivyo ndio maana na yeye haniletei ujinga). Just cz dem mzuri ana standards na kwenu mko vizuri isiwe shida na kuleteana dharau (hata kwetu tuko vizuri sana tu).


0b6c21557eaf0b581b3c36a2c3bede10.jpg
 
Ila kweli hawaridhiki Hawa watu
Nna jamaa angu kajenga nyumba yake ya kuishi na mkewe, gorofa 4 kila kitu ndani mazee.
Mke anakwambia nyumba gani sasa hii!?????
Uuuwi
 
Nawe utakapo kuwa Mtu mzima usiache kufuata niliyokuamuru. Utakapokuwa Na Mkeo basi onyesha kuwa wewe ni mwanaume. Ishi kwa akili pasipo kuzipa hisia zako Nafasi kubwa. Nawe usiwe na huruma kwa Mwanamke hata akiwa ni Mamaako bali kuwa na Busara. Ndipo utakapo fanikiwa sana katika mapito yako nawe majuto na maumivu hayatokuja kukupataa.

Nawe usipomuendesha Mwanamke basi yeye atakuendesha kwa maana katika safari kuna mawili yaani kuendeshwa na kuendesha basi katika mahusiano yako ni hiyari yako kuamua moja kati ya hayo mawili.

Zaidi ya yote usitumie hisia katika maisha yako ya mahusiano bali tumia akili kwani mwanaume ndiye kichwa cha familia.

~Michaelray22
 
Alivyokua mjinga na roho mbaya yule mwanamke akawa anarudi rudi kunitest imani. Akakutana na mi chuma cha Reli...mbishi nikisha kataa nimekataa.....sigeuki nyuma.

Namuona anatanga tanga tu huko na mm niko na dem mwingine mrembo mwenye standards anayeni heshimu na kuni value sana (ananijua fika character yangu ilivyo ndio maana na yeye haniletei ujinga). Just cz dem mzuri ana standards na kwenu mko vizuri isiwe shida na kuleteana dharau (hata kwetu tuko vizuri sana tu).


0b6c21557eaf0b581b3c36a2c3bede10.jpg
Safi sanaaa!!! Ukirudi nyuma atakuona huna future
 
Nimependa hiyo"Ukimpa mchele atapekua na chini zaidi"
 
Umezungumza sahihi kabisa. Wa kwangu nilimfanyia sherehe ya kuzaliwa gharama zote juu yangu, lakini baada ya wiki anataka nimpatie pesa. Sasa mtu unakaa na kujiuliza hivi huyu mzima kweli? Wote tuwaajiriwa sasa mimi hayo mapesa nilikuwa nayo nayatoa wapi? Kweli hawaridhiki
 
Be positive when it comes to women,don't expect to much from them,maisha yataenda!
 
We unafikiri wanaridhika hao?labda itokee uwe na vyote pesa na mgegedo mkali kidoogo wanaweza kutulia nawe bt ipo cku tu atakucheat
 
una kuwa kama umejitwika gunia la msumar ilhal una upara[/QUOTE]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] watu mna maneno
 
Asanteni sana.kwa kila aliyenena kwaajili ya MAMA,Asanteni mnaomtafuta MWANAMKE kwenye kundi la kina MAMA.Udhaifu wa WANAWAKE ulianza kuonekana tangu siku ile inayosemekana EVA(HAWA) alikula tunda alilokatazwa na MUNGU.lakini ukiwa na lengo la kuwa MKWELI Duniani,ukweli ambao unaweza ukahatarisha hata maisha yko basi utaona hivi; MWANAMKE ALIKUTANA NA ADUI MKUU SHETANI KUBWA LA MAADUI Naye EVA akazidiwa akili na SHETANI ,EVA akakubali kula tunda kwa ushawishi wa Shetani Naye akamtafuta dhaifu wake(cyo mbaya ukisema kibonde wake ) akamshawishi ADAM tena kwa kumwambia kabsa kuwa ameshawishiwa na shetani lakini naye ADAM akamuamini Shetani kupitia HAWA EVA na kukubali kula tunda ambalo anajua walikatazwa.unadhani kati ya yule aliyeshawishiwa na SHETANI KUBWA LA MAADUI na yule aliyeshawishiwa na MWANAMKE NANI dhaifu? Ukipata jibu lolote lile muombe msamaha MWANAMKE hapo hapo ulipo kabla hujapiga hatua.....ONA tofauti na wengine.MWANAMKE amevaa nguo fupi sana inayombana amekaa juu ya kisturi na kusababsha sketi fupi kupanda juu Mara anapita mwanaume na kuona mapaja ya yule mwanamke,alipopita eneo alile alionekana akitamani kurudi tena lakin MWANAUME akikaa vbaya na kusababsha sehemu za siri kuwa nje mwanamke akipita na kuona sehimu hzo hatotamani kurudia njia hyo.ukiwa mkweli hapo utagunduaKuwa ni NANI mwalimu wake kipofu kati ya aliyepita na kutamani kurudi tena na tena njia ile au aliyepita na kuchukia kurudi tena njia ile...MWANAMKE ndye njia ya bnadamu wote.mwanamke ni Nuru inayouangazia ulimwengu bila gharama yoyote....ONA TOFAUTI NA WENGINE STEKAMBA.
 
Back
Top Bottom