Fahamu mzunguko halisi wa Jua na Sayari zinazolizunguka

Fahamu mzunguko halisi wa Jua na Sayari zinazolizunguka

Nataka Ndugu zangu kina Stephen Ngalya Chelu na dosho12 na abdulrahman Said waende wakakutana na Nguli wa flat Earther huko waliosoma Fizikia Zote..

Ila Tahadhari waende na Dawa ya Maumivu tu
Ile nyuzi unakuta kuna watu ni miamba ila awagusi kule maana wanaona kabisa pale kuna kuzalilishwa...

Yaani unabishana na watu wanajua ukweli ila wanaamua tu kukomoa na bado wana kutoa K.O

Uzi unaweza sema umepoa ila sasa we jifanye kuchangia hapo ndo kuna mda unakuta uzi unatembea an trending upo namba moja...

Mi huwa napita kuangalia watu wakiwa wanakandwa pale...
Hua nainjoi sana napoona miamba inabishana na ma equation full michoro dadek πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kule nilitaka Kuingia Kichwa kichwa mwaka 2017 Hivi nikaona Mmh ngoja Nisome kwanza Nikasoma Nikaona Haoa Ni bora nipige tu Kura Kimya kimya hapanifai
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kule nilitaka Kuingia Kichwa kichwa mwaka 2017 Hivi nikaona Mmh ngoja Nisome kwanza Nikasoma Nikaona Haoa Ni bora nipige tu Kura Kimya kimya hapanifai
Kuna hatareee kule...
Ndo mana na wewe unaanza sumbua watu huku baada ya kuiva..

Umefanya watu wasumbuke na google kutafuta na kuchimba madude kudadek πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hoja zako nyepesi, ulipoanza kukataa uwepo wa gravity nikaona kumbe natumia energy yangu kwa hasara...
Ila Tukizungumza na Ukweli how unaweza Kuprove gravity kwa Akili ya Kawaida Gavity its an imaginary Force..

We Nenda Kwenye Hilo jukwaa Na Flat earther..Uje utupe Majibu..

Mimi sio Flat earther na Ndo maana Muda mwingi nakosa Hoja za Kupinga Kwa sababu nyingi nazojua ni za Kusupport ila bado najifunza Huenda kuna ka ukweli kuhusu Flat earth
 
HAha Mkuu Mimi ni flat earth wa Kuchangamsha Mda tu..
Ila swala linakuja Wao wanaosema ni earth is Round na Bado wanaenda kanisani wana amini Nini?
πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Mimi naamini kuwa Dunia Ni duara na Siamini kuhusu Flat Earth sema Huwa nawasogeza sana Wafia Dini wakisogea Nawapiga Nyundo

Haahaa kwahiyo unawaenjoy tu akina Kisai!!
 
Back
Top Bottom