Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
ππππππ Kuna jamaa alienda na point zake et sun rise and sun set...Kule Kuna Watu waliosoma Theoretical Phyisics na Geophysics na Wameamua kuwa upande wa Flat earth kuwashindwa kwa elimu ya Physics ya Advance au ya chuo tu sio kweli
Ile nyuzi unakuta kuna watu ni miamba ila awagusi kule maana wanaona kabisa pale kuna kuzalilishwa...Nataka Ndugu zangu kina Stephen Ngalya Chelu na dosho12 na abdulrahman Said waende wakakutana na Nguli wa flat Earther huko waliosoma Fizikia Zote..
Ila Tahadhari waende na Dawa ya Maumivu tu
π π πIle nyuzi unakuta kuna watu ni miamba ila awagusi kule maana wanaona kabisa pale kuna kuzalilishwa...
Yaani unabishana na watu wanajua ukweli ila wanaamua tu kukomoa na bado wana kutoa K.O
Uzi unaweza sema umepoa ila sasa we jifanye kuchangia hapo ndo kuna mda unakuta uzi unatembea an trending upo namba moja...
Mi huwa napita kuangalia watu wakiwa wanakandwa pale...
Hua nainjoi sana napoona miamba inabishana na ma equation full michoro dadek π π π π π π π
Kuna hatareee kule...π π π
Kule nilitaka Kuingia Kichwa kichwa mwaka 2017 Hivi nikaona Mmh ngoja Nisome kwanza Nikasoma Nikaona Haoa Ni bora nipige tu Kura Kimya kimya hapanifai
Hoja zako nyepesi, ulipoanza kukataa uwepo wa gravity nikaona kumbe natumia energy yangu kwa hasara...Nataka Ndugu zangu kina Stephen Ngalya Chelu na dosho12 na abdulrahman Said waende wakakutana na Nguli wa flat Earther huko waliosoma Fizikia Zote..
Ila Tahadhari waende na Dawa ya Maumivu tu
Ila Tukizungumza na Ukweli how unaweza Kuprove gravity kwa Akili ya Kawaida Gavity its an imaginary Force..Hoja zako nyepesi, ulipoanza kukataa uwepo wa gravity nikaona kumbe natumia energy yangu kwa hasara...
HAha Mkuu Mimi ni flat earth wa Kuchangamsha Mda tu..
Ila swala linakuja Wao wanaosema ni earth is Round na Bado wanaenda kanisani wana amini Nini?
π€£π€£πππ
Mimi naamini kuwa Dunia Ni duara na Siamini kuhusu Flat Earth sema Huwa nawasogeza sana Wafia Dini wakisogea Nawapiga Nyundo