Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

10wh sio fast charging kwa infinix hio ..sema ina standard charge ya kawaida

Kujaa hapo ni more than 3hours hio sio fast charging
 
Nmeitumia hot 10 play ni moto wa kotea mbali ukilinganisha na hiyo a02
 
Hakuna infinix ambayo ni flagship tusidanganyane hapa...iyo hivh end kaiona wapi
 
Moto wake ni upi mzee?
Iko vizuri hasa display, charge siku mbili, iko faster katika matumizi hai stack stack na camera iko wastani kwa bei ya laki mbili na nusu niliolipia sikuwahi kutoridhika kabisa
 
Iko vizuri hasa display, charge siku mbili, iko faster katika matumizi hai stack stack na camera iko wastani kwa bei ya laki mbili na nusu niliolipia sikuwahi kutoridhika kabisa
Inaweza kufanya kazi za kiofisi ikabeba mafaili kadhaa na option za kuweza kufanya kazi kama Samsung?

Maana tusiangalie tu Camera kwa maaa ya picha,hivyo ni vitu vidogo sana kwenye simu
 
Shida ya infinix na Tecno ni kutumia cheap za MTK ,ambazo zimepitwa na wakati na muda mwingine zinafanya simu kuganda umeipigia chapuo infinix hot 10 lkn ni under dog kwa Samsung bado sana
 
Nmeitumia hot 10 play ni moto wa kotea mbali ukilinganisha na hiyo a02
Mmh.. mkuu unasema Infinix Hot 10 Play ni moto wa kuotea mbali wakati kuna thread niliona unasema unahama Xiaomi kwa sababu Redmi 9 haijakushawishi ubaki Xiaomi.
Sasa hiyo Redmi 9 na Hot 10 Play ipi unyama[emoji848][emoji848]
 
Mkuu, Oppo ni next level
Sio level moja kabisa na hizo takataka za Tecno na Infinix
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…