Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
- Thread starter
- #21
Mkuu,nilishafafanua 1 na 12 sasa naona 1 na 13.All in all ukisoma hili andiko kama ulivolisoma uataona kwamba zinafanana ila kimsingi hazifanani ila zinaongezeana nguvu tuYuko sahihi ingawa 1 na 13 zina maana sawa yaani wanajisimamia... 12 wanautayari wa kutumia muda wa ziada bila malalamiko.