Fahamu tabia za watu kulingana na magari wanayomiliki

Fahamu tabia za watu kulingana na magari wanayomiliki

Nilikoswa koswa sana kumiliki mazda demio...lakini nashukuru kikombe kile kiliniepuka.[emoji39][emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kagari kanaitwa Mazda Verisa, kamekaa utamu sana kwakweli. Katika gari za Mazda zile economical nilikuwa naiona demio ina shape nzuri ila baada ya kuiona ile Verisa moyo wangu umeangukia pale. Sitamani tena kibebiwoka chochote zaidi ya mazda Verisa!
 
Back
Top Bottom