Fahamu tabia za watu kulingana na magari wanayomiliki

Fahamu tabia za watu kulingana na magari wanayomiliki

Umesahau Premio na Allion na Voltz

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]premio, alion na voltz zinaingia kwenye kundi namba 1 isipokuwa maranyingi wamiliki wa gari hizi wengi wao wanakuwa walishawahi kumiliki labda Ist, Tiida,Spacio, n.k...kwa hiyo hawa wame..upgrade umiliki wao japo bado wapo kundi lile lile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tesla-log.jpg
 
Daaah kuna moja hapo sijaiona au vile ni old model
Sema naipenda,
ni kama nokia tochi hata niache mahali wezi hawagusi kitu [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom