Fahamu tabia za watu kulingana na magari wanayomiliki

Fahamu tabia za watu kulingana na magari wanayomiliki

Niombe radhi sasa hivi au nilianzishe humu humu JF. Mimi nimelimiliki gari langu sasa ni miaka 4 lakini sijawahi kuonwa kwenye hizo tabia mbofu mbofu hata mojawapo. Usipende kusema kitu hujafanya hata kautafiti. No research no permission to speak.
Nimekuchukia kama vile umenimba lift asubuhi ya leo.
Inaonesha kuwa weye ni miongoni mwa wale waliozikosa wanatukana kuwa hizo ni mbichi sizitaki. Ungeanza kwa kutuambia kuwa weye unamiliki mangapi katika hayo magari ili tujue na wewe ni group gani.
Umetokwa na jasho kama vile unaigiza picha la kihindi

Happiness is a lifestyle
 
Niombe radhi sasa hivi au nilianzishe humu humu JF. Mimi nimelimiliki gari langu sasa ni miaka 4 lakini sijawahi kuonwa kwenye hizo tabia mbofu mbofu hata mojawapo. Usipende kusema kitu hujafanya hata kautafiti. No research no permission to speak.
Nimekuchukia kama vile umenimba lift asubuhi ya leo.
Inaonesha kuwa weye ni miongoni mwa wale waliozikosa wanatukana kuwa hizo ni mbichi sizitaki. Ungeanza kwa kutuambia kuwa weye unamiliki mangapi katika hayo magari ili tujue na wewe ni group gani.
Relax bro... Kuna mtu anatoa uchambuzi wake sio lazima uwe 100% sawa, jifunze kuzikabili panic

Happiness is a lifestyle
 
Subaru ni gari za vijana machachari sana wenye kupenda ligi sana, watu wa arusha ndiyo gari zao hizo

Happiness is a lifestyle
 
Namba 2 nafikiri umebugi kidogo watu wa kundi hilo hutumia magari hayo kama vile simu kuwa ili maisha yaende basi hicho kiusafiri ni muhimu, hawanunu kumuonyesha mtu kuwa wamenunua ila kuwakamilishia mizunguko yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana wazi kabisa umiliki wako unaangukia hapo kwenye #2[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaondesha trekta John Deer 2130 tuna tabia gani?
 
Sasa mbona unakuta MTU anamiliki zaidi ya gari 4 hapo tofauti tofauti,mfano Alphard,V8,IST na Crown,Sasa utajuaje tabia yamtu kupitia gari jamani,?au siku nikiwa barabarani na V8 nitofauti nikiendesha Crown?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaondesha trekta John Deer 2130 tuna tabia gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie wa John Deer mna tabia ya kupenda kula sana mazao ya shambani mf mahindi ya kuchoma,mihogo,viazi,maboga nk....si kitu cha ajabu kukuta jamaa anaendesha trkta lake mkononi anakula muwa wenye urefu wa futi sita....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom