Aisee....£2m ni over 6bn tzs....mtu mwenye hii hela wala hawazi kupata 'stay' achilia mbali visa. Yaani watu wakuchangie hadi ifike £2m ili upate visa au stay?! Wazamiaji visa zao ni visit au student visa.Ukiwa na £2M na business plan wanakupa Indefinite Leave to Remain. Hii ilianzishwa na David Cameroon kushawish wawekezaji wengi kuingia Uingereza.
Wengi wanaopata visa hii wengi ni Warusi na Wahindi. Wahindi huwa wanachangana pesa muombaji akipata viza anawarudishia pesa waliomsaidia .
Tatizo hapa hakuna elimu bora kwa watoto bila gharama na matibabu pia. Mbona Warusi wanaitumia na wao wako Ulaya?Sasa mkuu Kama una uwezo wa kumiliki 2m euros Kuna haja gani ya kwenda ulaya.
Maana mtu mwenye pesa Kama hyo hata hapa bongo anaishi Kama ulaya tu.
Au akitaka kwenda ulaya kutembelea anakwenda na kurud any time.
Ukiwa na £2m huna haja ya kuzamia huko, unawasomesha huko na nyumba ya kuishi ukitaka unawanunulia. Ukiwa na hela hio huwazi shule,afya,malazi bora. Hao unawazungumzia wanazamia kwa visit,student au ukimbizi.Tatizo hapa hakuna elimu bora kwa watoto bila gharama na matibabu pia. Mbona Warusi wanaitumia na wao wako Ulaya?
Wahindi wanachangana £200,000 kila mmojaAisee....£2m ni over 6bn tzs....mtu mwenye hii hela wala hawazi kupata 'stay' achilia mbali visa. Yaani watu wakuchangie hadi ifike £2m ili upate visa au stay?! Wazamiaji visa zao ni visit au student visa.
Hivi ushawahi kuishi TZ? £200,000 ni tzs 600m. Hela hii ukazamie Ulaya ili utumikishwe? Ok wanachanga ili mtu apate visa azamie, hela anarudisha ila kuna njia nyingi nyepesi kuliko hio ya £2mWahindi wanachangana £200,000 kila mmoja
Hata mm nimeshangaa aisee.Aisee....£2m ni over 6bn tzs....mtu mwenye hii hela wala hawazi kupata 'stay' achilia mbali visa. Yaani watu wakuchangie hadi ifike £2m ili upate visa au stay?! Wazamiaji visa zao ni visit au student visa.
Kwani huko ulaya ndio elimu na afya wanatoa bure?Tatizo hapa hakuna elimu bora kwa watoto bila gharama na matibabu pia. Mbona Warusi wanaitumia na wao wako Ulaya?
Ukishachangia kodi hulipi Tena ada?Unavichangia kwenye kodi
£2m kwa hao uliwataja ni ndogo, hao wana B. Ila hela hio ni nyingi sana kwa mtu mwingine yoyote.Hata mm nimeshangaa aisee.
Hyo £2m ni viwango vya akina mo dewji,Rostam aziz na Manji.
Sasa watu kama hao Kuna haja gani ya kuzamia wakat hapa bongo wanaishi maisha wanayotaka!
UK elimu,afya bureKwani huko ulaya ndio elimu na afya wanatoa bure?
Tena ndogo sanaAda ni kuanzia chuo kikuu
Lkn hata Kama elimu bure bado Kuna expensive life kwa vitu vingine.UK elimu,afya bure
Ha ha ha hio 5m kwa mwezi nyingi sana.Lkn hata Kama elimu bure bado Kuna expensive life kwa vitu vingine.
So utakuwa umeokoa milioni 5 ya ada kwa mwaka wakat hela ya accommodation kwa mwezi ni Zaid ya hyo milioni 5.
5m ni nyingi kwa bongo mkuu.Ha ha ha hio 5m kwa mwezi nyingi sana.