Fahamu Tier 1 entrepreneur Visa in the UK

Fahamu Tier 1 entrepreneur Visa in the UK

inaonekana kama ina maana ila kwa sisi watanzania huo ni ujinga.. Yaani bilioni 6 za kktanzania una haja gani ya kwenda uko?
Haina maana...Ni UJINGA wa fikra tu...6bn unafanya mengi hapa hapa TZ...Paris,Rome,London,Venice,LA panakua vacation sites zako tu kipind upo likizo
 
Ukiwa na £2M na business plan wanakupa Indefinite Leave to Remain. Hii ilianzishwa na David Cameroon kushawish wawekezaji wengi kuingia Uingereza.

Wengi wanaopata visa hii ni Warusi na Wahindi. Wahindi huwa wanachangana pesa muombaji akipata viza anawarudishia pesa waliomsaidia .
How old are You?
 
Life expectancy yetu ni 55 wakati ya Wazungu ni 75
Mazingira ya nigeria na bongo tofauti sana, mindset ya wa nigeria wote ni kukimbia nchi yao kwa kuwa kwao hali ni ngumu sana, ajura, umeme, hoko haram, population kubwa n.k ni tofauti na bongo. Kwahiyo bongo haoni umuhimu wa kurisk hivyo wakati akiwa na master ya uk akirudi bongo anauhakika wa kuapata kazi nzuri au kufanya baishara ya maana.
Wakati Zimbabwe imewekewa vikwazo vya uchumi, kikichowaokoa ni Wazimbabwe walio Ulaya na Marekani walikuwa wanatuma cash nyumbani kwa ndugu zao na mzunguko wa hela ukaweza kuendelea.

Philippines ilipopata tetemeko la ardhi ilipata msaada mkubwa kutoka nje kwakuwa wa Phillipino wengi ndiyo walimu na manesi Ulaya na Marekani.

Tupanue fikra zetu ili tuzidi kuinua uchumi wa nchi yetu.
 
Hahahaha!mkuu hayo mawazo uliyonayo ndio yanayochelewesha kuuondoa umaskini kwa watanzania wengi.
Walio wengi huwa wamekariri kwamba kuanzisha kampuni ni hadi uwe mzungu au mtu mweupe.
Hayo yote yametoka wapi mimi naongelea mitaji na naongelea kitu ninachofahamu na kuishi nao na ku experience ujanja ujanja wao.
 
Life expectancy yetu ni 55 wakati ya Wazungu ni 75

Wakati Zimbabwe imewekewa vikwazo vya uchumi, kikichowaokoa ni Wazimbabwe walio Ulaya na Marekani walikuwa wanatuma cash nyumbani kwa ndugu zao na mzunguko wa hela ukaweza kuendelea.

Philippines ilipopata tetemeko la ardhi ilipata msaada mkubwa kutoka nje kwakuwa wa Phillipino wengi ndiyo walimu na manesi Ulaya na Marekani.

Tupanue fikra zetu ili tuzidi kuinua uchumi wa nchi yetu.
Ni kweli hata hapo tu kwa majirani Kenya, top forex earner yao ni remittance ya wakenya walio nje ikifuatiwa na utalii, Uganda pia.

Kwahiyo sisemi hakuna umuhimu wa kuwa na raia nje kwakuwa huwa wanaleta pesa nyingi sana za kigeni ambazo ni muhimu kiuchumi...lakini ninacho sema bado mindset ni tofauti na haiwezi kuwa sawa na nigeria kuwa wao hawana chaguo ni lazima waende tu. Hapa kwetu kuna machaguo, wanaopata nafasi ambazo ni nzuri waende... ila ni poor decision kurisk katika mazingira magumu sana kwa ujira mdogo kisa tu upo nje( unakuta mtu amekaa 20 years lakini hana mafanikio yanayoonekana)..lazima ulinganishe na fursa zilizomo nchini uone pro &cons. Ila kama huna cha maana cha kufanya nchini basi bora ukapate hizo £/€/$ hata kama ni kazi zisizo na staha....mwisho wa siku ni kazi na inaingiza pesa.
Pia life expectancy ya tz kwa mujibu wa gugo ni 65.8 years.
 
Wanakwenda tu kwa upendo wao tu lkn sio kwamba hapa bongo vimeshindikana kutibika.Ni sawa sawa na serikali yetu inavyoleta wachina kuja kutengeneza mitaro ya barabara haimaanishi kwamba huku kwetu hakuna wakandarasi wanaoweza kutengeneza mitaro/mifereji
Mfano wako ni irrelevant lkn
 
Mjomba hizi inabidi ujipige basic knowledge ya agriculture au care skills kwenye internet kwani wana interview. Once you are in training zote watakupa na katika siku saba za wiki ukijiongezs kwingine kwa hizo siku mbili unaweza kunyoosha maisha.

Come and we stay Ulaya inafanyika ili kusave kodi.
Inategemea malengo yako ni nini. Waghana wakiingia wanaitwa na cousin ambae ana Vibali . Cousini anajiregister kwa Agency kama tatu halafu amuachia msala.
Unapiga mzigo unarudisha nauli ya cousin na wewe inaanza kuweka. Baada ya miezi 24 unaondoks na kitu £20,000 ni mtaji wa maana
this sound very good indeed
 
Back
Top Bottom