Fahamu Tier 1 entrepreneur Visa in the UK

Hii nimeiona kwa Waghana ndiyowanavyoinuana. Ukimuona mtoto wa mjomba hana kazi unamvuta anafanyia kazi jina lako kwa miaka miwili. Na wenyewe mara nyingi wakipata mshiko wana nunua ma track na kuyasafirisha nyumbani.
Hey, Madam Sky uko UK nini? Tuonane aisee.
 
Sasa mkuu Kama una uwezo wa kumiliki 2m euros Kuna haja gani ya kwenda ulaya.
Maana mtu mwenye pesa Kama hyo hata hapa bongo anaishi Kama ulaya tu.
Au akitaka kwenda ulaya kutembelea anakwenda na kurud any time.
Sio kwel mkuu,pesa sio sababu kwa nchi zetu za africa,maana uduma za kijamii bado,elimu bado,

Alafu ushawah kujiulza hv kwann hata mtu mwnye pesa zake anataman kutibiwa nje ya nchi,hata mtu mwenye pesq anawapeleka wanae nchi ya nchi,,,,mfumo wa maisha ni tofaut sana sana na nchi zetu za africa...
 
Kwa hyo ulitaka kuniambia maisha anayoishi akina mo dewji yana tofauti na mtu aliye ulaya?yaani Kuna vitu ambavyo wanavikosa na mtu wa ulaya anavipata?
Kwa sababu Kama ni shule zipo shule za international ambazo ada zake ni karibu mil 20 na zina mitaala ya ulaya.
Na upande wa tiba Kuna hospital Kama agakhan ambako Kuna specialists kutoka nje wanakuja kutoa huduma.
 
Ulaya umeme ukika labda kuna ajali imeharibu nyaya na hiyo itakuwa national news na litarekebishwa haraka, au hujaweka LUKU na maji hali kadhalika. Hii ni kwa masikini na matajiri.
 
Sawa ila kwa Tanzania mtu mwenye pesa umeme ukikatika kwenye nyumba yake standby generator linawaka ila kwa mtu maskini ndio ataanza kulia lia umeme hakuna.
 
Generator ambayo ni extra cost ya energy pia kelele
 
Uk wanatumia pound sio euro....pound moja ni tshs 2800 huko

Kingine ni kwamba bongo ni bongo na kuishi ulaya we ni mtumwa tu...umeme hata uwe wa uhakika kama hauna kazi nao haukusaidii chochote ndugu
Nimeishi uk miaka 4 sikuwahi kuumwa so hizo huduma za afya hata kama ni bure hazikunisaidia ....lazima ujue kutofauti kati ya msalaba na jumlisha...
Maisha ya sasa ni kutafuta pesa lakini kikubwa ni kusave hicho ulichopata...kam unapata 5m then matumizi ni 4.8m hapo hamna kitu bora ufanye kazi ya laki 7 then matumizi laki 3 ukasave hiyo iliobakia
 
Back
Top Bottom