flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
51680000Chukua 20000x2584=?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
51680000Chukua 20000x2584=?
Yes na sio 4051680000
Me nilikuwa nipigia hesabu ya dollar 2300Yes na sio 40
Nilijua hata mm kwamba umechanganya na dolaMe nilikuwa nipigia hesabu ya dollar 2300
Hiyo hela sio haba kigongo bongo niwachache wenye uwezo wakuitengeneza ndani yamiezi 24Nilijua hata mm kwamba umechanganya na dola
Ni kweli mkuu inakufikisha mbali ukiweza kuifanyia uwekezajiHiyo hela sio haba kigongo bongo niwachache wenye uwezo wakuitengeneza ndani yamiezi 24
Hey, Madam Sky uko UK nini? Tuonane aisee.Hii nimeiona kwa Waghana ndiyowanavyoinuana. Ukimuona mtoto wa mjomba hana kazi unamvuta anafanyia kazi jina lako kwa miaka miwili. Na wenyewe mara nyingi wakipata mshiko wana nunua ma track na kuyasafirisha nyumbani.
Kabisa mkuu watoto hawawezi kulala njaa, Tanzania fursa zipo ila tatizo mitajiNi kweli mkuu inakufikisha mbali ukiweza kuifanyia uwekezaji
Ni kweli mkuu fursa bado zipo nyingi sana na ndio maana wachina wakija huwa wanashtukia hizo fursa wanatusua sana.Kabisa mkuu watoto hawawezi kulala njaa, Tanzania fursa zipo ila tatizo mitaji
Aisee niko pande za Leeds muda sasa. Chini ya tier 4 visa.Nilikuwa zamani mkuu
Sio kwel mkuu,pesa sio sababu kwa nchi zetu za africa,maana uduma za kijamii bado,elimu bado,Sasa mkuu Kama una uwezo wa kumiliki 2m euros Kuna haja gani ya kwenda ulaya.
Maana mtu mwenye pesa Kama hyo hata hapa bongo anaishi Kama ulaya tu.
Au akitaka kwenda ulaya kutembelea anakwenda na kurud any time.
Kwa hyo ulitaka kuniambia maisha anayoishi akina mo dewji yana tofauti na mtu aliye ulaya?yaani Kuna vitu ambavyo wanavikosa na mtu wa ulaya anavipata?Sio kwel mkuu,pesa sio sababu kwa nchi zetu za africa,maana uduma za kijamii bado,elimu bado,
Alafu ushawah kujiulza hv kwann hata mtu mwnye pesa zake anataman kutibiwa nje ya nchi,hata mtu mwenye pesq anawapeleka wanae nchi ya nchi,,,,mfumo wa maisha ni tofaut sana sana na nchi zetu za africa...
Ulaya umeme ukika labda kuna ajali imeharibu nyaya na hiyo itakuwa national news na litarekebishwa haraka, au hujaweka LUKU na maji hali kadhalika. Hii ni kwa masikini na matajiri.Kwa hyo ulitaka kuniambia maisha anayoishi akina mo dewji yana tofauti na mtu aliye ulaya?yaani Kuna vitu ambavyo wanavikosa na mtu wa ulaya anavipata?
Kwa sababu Kama ni shule zipo shule za international ambazo ada zake ni karibu mil 20 na zina mitaala ya ulaya.
Na upande wa tiba Kuna hospital Kama agakhan ambako Kuna specialists kutoka nje wanakuja kutoa huduma.
Sawa ila kwa Tanzania mtu mwenye pesa umeme ukikatika kwenye nyumba yake standby generator linawaka ila kwa mtu maskini ndio ataanza kulia lia umeme hakuna.Ulaya umeme ukika labda kuna ajali imeharibu nyaya na hiyo itakuwa national news na litarekebishwa haraka, au hujaweka LUKU na maji hali kadhalika. Hii ni kwa masikini na matajiri.
Mtu mwenye pesa hawez kuona shida kutumia 100 ltrs of diesel per month.Generator ambayo ni extra cost ya energy pia kelele