SA bado sio secure,mtu akiamua kutuma mtu wa kukuua ni dakika 0!
Ndio maana Kagame anatuma wauaji kila siku SA!
Nchi za uhakika ambazo hazina usenge na huwezi bother mtu aliepo kwenye hizo jurisdictions na huwezi fanya assasinations kisenge senge!
Hizi nchi zina legal systems zilizo sawa mno hata kama assassination imefanyika then proper investigation inafanyika na consequences zinafuata kama inavyotakiwa.
Nchi ni chache mno,hapo ni USA,UK,Canada,Nordic and Western Europe countries baasi....
South Africa kila siku Kagame anafanya uuaji atakavyo...ila sio USA!
Tatizo hapa ni usalama wa kisheria ulio sawa,huwezi upata kwenye nchi zetu za Africa humu,mwanasiasa ana power next to Mungu if that makes any sense!