Fahamu Tier 1 entrepreneur Visa in the UK

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ukiwa na £2M na business plan wanakupa Indefinite Leave to Remain. Hii ilianzishwa na David Cameroon kushawish wawekezaji wengi kuingia Uingereza.

Wengi wanaopata visa hii ni Warusi na Wahindi. Wahindi huwa wanachangana pesa muombaji akipata viza anawarudishia pesa waliomsaidia .
 
Ukiwa na £2M na business plan wanakupa Indefinite Leave to Remain. Hii ilianzishwa na David Cameroon kushawish wawekezaji wengi kuingia Uingereza.

Wengi wanaopata visa hii wengi ni Warusi na Wahindi. Wahindi huwa wanachangana pesa muombaji akipata viza anawarudishia pesa waliomsaidia .
Aisee....£2m ni over 6bn tzs....mtu mwenye hii hela wala hawazi kupata 'stay' achilia mbali visa. Yaani watu wakuchangie hadi ifike £2m ili upate visa au stay?! Wazamiaji visa zao ni visit au student visa.
 
Sasa mkuu Kama una uwezo wa kumiliki 2m euros Kuna haja gani ya kwenda ulaya.
Maana mtu mwenye pesa Kama hyo hata hapa bongo anaishi Kama ulaya tu.
Au akitaka kwenda ulaya kutembelea anakwenda na kurud any time.
Tatizo hapa hakuna elimu bora kwa watoto bila gharama na matibabu pia. Mbona Warusi wanaitumia na wao wako Ulaya?
 
Ukiwa na £2m huna haja ya kuzamia huko, unawasomesha huko na nyumba ya kuishi ukitaka unawanunulia. Ukiwa na hela hio huwazi shule,afya,malazi bora. Hao unawazungumzia wanazamia kwa visit,student au ukimbizi.
 
Aisee....£2m ni over 6bn tzs....mtu mwenye hii hela wala hawazi kupata 'stay' achilia mbali visa. Yaani watu wakuchangie hadi ifike £2m ili upate visa au stay?! Wazamiaji visa zao ni visit au student visa.
Wahindi wanachangana £200,000 kila mmoja
 
Aisee....£2m ni over 6bn tzs....mtu mwenye hii hela wala hawazi kupata 'stay' achilia mbali visa. Yaani watu wakuchangie hadi ifike £2m ili upate visa au stay?! Wazamiaji visa zao ni visit au student visa.
Hata mm nimeshangaa aisee.
Hyo £2m ni viwango vya akina mo dewji,Rostam aziz na Manji.
Sasa watu kama hao Kuna haja gani ya kuzamia wakat hapa bongo wanaishi maisha wanayotaka!
 
£2m kwa hao uliwataja ni ndogo, hao wana B. Ila hela hio ni nyingi sana kwa mtu mwingine yoyote.
 
Back
Top Bottom