Fahamu Tier 1 entrepreneur Visa in the UK

MH home fee kwani sasa hivi £ ngapi? Mimi niliacha less than £2000
£9,250 kwa sasa, vijana wengi wana opt kwa apprenticeship University zinapata shida kujaza nafasi.
 

Nikiwa nao hizo.....nafia huku huku kwetu
 
Hata mm aisee kwa nn nikajichoshe kuishi Kama mkimbizi wakat pesa hyo Nina uwezo wa kufungua kiwanda kabisa na watu wakanifanyia kazi.
Inaweza kuwa export bussiness ukwa umewekeza hapa na Ulaya
 
Sasa mkuu Kama una uwezo wa kumiliki 2m euros Kuna haja gani ya kwenda ulaya.
Maana mtu mwenye pesa Kama hyo hata hapa bongo anaishi Kama ulaya tu.
Au akitaka kwenda ulaya kutembelea anakwenda na kurud any time.
Hiyo ni escape plan ya wenye pesa kwenye hizi nchi shithole..

Hizi nchi zetu shitholes,mwanasiasa akiamua kukutesa huna cha kufanya,inabidi uwe na plan B!

Tena nchi inayoeleweka ambayo huwezi hata tuma mtu kwenda kuua mtu au extradition.

Mfano Jiwe kaamua kukuchukia tu makusudi sababu anajua yeye,akavamia biashara zako na wewe akaamua kukupiga na kesi ya uhujumu uchumi,ni lazima usepe...

Utaenda wapi na huna escape plan in place?

Hizi nchi zetu hazin fair legal system,mwanasiasa yeyote anaweza kukuua atakavyo.
 
Una £2m kuna sehemu kibao za kwenda. Mfano SA hapo wala huitaji visa.
 
Una £2m kuna sehemu kibao za kwenda. Mfano SA hapo wala huitaji visa.
SA bado sio secure,mtu akiamua kutuma mtu wa kukuua ni dakika 0!

Ndio maana Kagame anatuma wauaji kila siku SA!

Nchi za uhakika ambazo hazina usenge na huwezi bother mtu aliepo kwenye hizo jurisdictions na huwezi fanya assasinations kisenge senge!

Hizi nchi zina legal systems zilizo sawa mno hata kama assassination imefanyika then proper investigation inafanyika na consequences zinafuata kama inavyotakiwa.

Nchi ni chache mno,hapo ni USA,UK,Canada,Nordic and Western Europe countries baasi....

South Africa kila siku Kagame anafanya uuaji atakavyo...ila sio USA!

Tatizo hapa ni usalama wa kisheria ulio sawa,huwezi upata kwenye nchi zetu za Africa humu,mwanasiasa ana power next to Mungu if that makes any sense!
 
Binafsi nimeishi ulaya for 4 yrs.Ada niliacha iko £12,000 kwa mwaka (2013).chuo kinavyokuwa bora ndo ada inavyokuwa juu.na pia course unayosomea inadetermine ada kupanda au kushuka....watu wa medicine ada zao zipo juu
Ulaya kodi ni nyingi sana. Concil tax, tv licence, parking, mot na mauchafu kibao
Kila ukifanya kibarua wanakukata national insurance na tax tena makato makubwa tu kulingana na ulichopata.
Mfano ukifanya kazi za long hr shifs kama viwandani, warehouse, customer care, nursing homes, ukifanya 12 hrs per day kwa siku nne wanakata ya kawaida ila ukifanya 5 days wanakata balaa.Uzuri baada ya muda huwa wanareview tax zote then kama wamekukula sana wanakutumia cheque kupitia address yako.
Maisha ya ulaya ni mazuri ila ni ya kuboreka sana na ya gharama sana.unaishi na jirani yako zaidi ya 2yrs na hamjuani...
Africa ni shitholes kwa maelezo ya wengi ila kuna raha zote....hatunaga matress ya ajabu ajabu ukiachilia hii awamu ya vyuma kukaza [emoji3].
We ona wachina na watu wengine wa mbele wanavyokula kuishi huku .
Binafsi kama bongo maisha hayasomi bora kuzamia ila kama una umate umate bongo maisha ni matamu kuliko ulaya...
 
Mkuu mm sijawah kuishi ulaya lkn hicho ndicho nilichokuwa nakiwaza.
Ulaya mtu unatakiwa uende kwa shida tu yaani Kama maisha ya bongo yamekupiga na hauna alternatives ndio inafaa uende ulaya kujiboost ili badae ukirud bongo uwe mtu wa level nyingine.
Lakini kwa hali ya kawaida tu ulaya huwez kuenjoy Kama bongo,watu wanaishi kiunyama unyama tu,hakuna ujirani hakuna kujuana,hakuna kusalimiana,hakuna ujamaa.hata ukienda bar hakuna kuongeleshana,mtu ukimuongelesha anakuhisi ww ni jambazi unataka umkabe.
Ila bongo ukiwa nazo unapeta hata huo muda wa kwenda kushangilia mambo ya vyama vya siasa huwez kuwa nao,Sasa atakutafuta nani ili akuteke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…