RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kwamba mwanafunzi anakaa nyumba ya $2000 kwa mwezi? Huyo mtoto wa Manji?5m ni nyingi kwa bongo mkuu.
Hata hapo Dubai kwenyewe haitoshi kuishi kwa mwezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mwanafunzi anakaa nyumba ya $2000 kwa mwezi? Huyo mtoto wa Manji?5m ni nyingi kwa bongo mkuu.
Hata hapo Dubai kwenyewe haitoshi kuishi kwa mwezi.
MH home fee kwani sasa hivi £ ngapi? Mimi niliacha less than £2000Kuna mswasda unajadiliwa wa kupunguza home fee ifike £7,500 kwa mwaka
Ukiwa na £2M na business plan wanakupa Indefinite Leave to Remain. Hii ilianzishwa na David Cameroon kushawish wawekezaji wengi kuingia Uingereza.
Wengi wanaopata visa hii wengi ni Warusi na Wahindi. Wahindi huwa wanachangana pesa muombaji akipata viza anawarudishia pesa waliomsaidia .
Hata mm aisee kwa nn nikajichoshe kuishi Kama mkimbizi wakat pesa hyo Nina uwezo wa kufungua kiwanda kabisa na watu wakanifanyia kazi.Nikiwa nao hizo.....nafia huku huku kwetu
Students loans bado zipo ?£9,250 kwa sasa, vijana wengi wana opt kwa apprenticeship University zinapata shida kujaza nafasi.
Sio lazima upate stayInaweza kuwa export bussiness ukwa umwekeza hapa na Ulaya
why? kwani business policy za Uk ni kama za dunia ya tatu?Stay is your security
Mambo ya stay kuwa security ni ya wahamiaji wa kiuchumi,sio kwa established businessman.If there is an opportunity just grap it
Hiyo ni escape plan ya wenye pesa kwenye hizi nchi shithole..Sasa mkuu Kama una uwezo wa kumiliki 2m euros Kuna haja gani ya kwenda ulaya.
Maana mtu mwenye pesa Kama hyo hata hapa bongo anaishi Kama ulaya tu.
Au akitaka kwenda ulaya kutembelea anakwenda na kurud any time.
Una £2m kuna sehemu kibao za kwenda. Mfano SA hapo wala huitaji visa.Hiyo ni escape plan ya wenye pesa kwenye hizi nchi shithole..
Hizi nchi zetu shitholes,mwanasiasa akiamua kukutesa huna cha kufanya,inabidi uwe na plan B!
Tena nchi inayoeleweka ambayo huwezi hata tuma mtu kwenda kuua mtu au extradition.
Mfano Jiwe kaamua kukuchukia tu makusudi sababu anajua yeye,akavamia biashara zako na wewe akaamua kukupiga na kesi ya uhujumu uchumi,ni lazima usepe...
Utaenda wapi na huna escape plan in place?
Hizi nchi zetu hazin fair legal system,mwanasiasa yeyote anaweza kukuua atakavyo.
SA bado sio secure,mtu akiamua kutuma mtu wa kukuua ni dakika 0!Una £2m kuna sehemu kibao za kwenda. Mfano SA hapo wala huitaji visa.
Mkuu mm sijawah kuishi ulaya lkn hicho ndicho nilichokuwa nakiwaza.Binafsi nimeishi ulaya for 4 yrs.Ada niliacha iko £12,000 kwa mwaka (2013).chuo kinavyokuwa bora ndo ada inavyokuwa juu.na pia course unayosomea inadetermine ada kupanda au kushuka....watu wa medicine ada zao zipo juu
Ulaya kodi ni nyingi sana. Concil tax, tv licence, parking, mot na mauchafu kibao
Kila ukifanya kibarua wanakukata national insurance na tax tena makato makubwa tu kulingana na ulichopata.
Mfano ukifanya kazi za long hr shifs kama viwandani, warehouse, customer care, nursing homes, ukifanya 12 hrs per day kwa siku nne wanakata ya kawaida ila ukifanya 5 days wanakata balaa.Uzuri baada ya muda huwa wanareview tax zote then kama wamekukula sana wanakutumia cheque kupitia address yako.
Maisha ya ulaya ni mazuri ila ni ya kuboreka sana na ya gharama sana.unaishi na jirani yako zaidi ya 2yrs na hamjuani...
Africa ni shitholes kwa maelezo ya wengi ila kuna raha zote....hatunaga matress ya ajabu ajabu ukiachilia hii awamu ya vyuma kukaza [emoji3].
We ona wachina na watu wengine wa mbele wanavyokula kuishi huku .
Binafsi kama bongo maisha hayasomi bora kuzamia ila kama una umate umate bongo maisha ni matamu kuliko ulaya...