Fahamu Tier 1 entrepreneur Visa in the UK

Lakini huko huko unakosema kuna usalama wakiamua wanatuma watu wanakumaliza. Hujasikia 'wasaliti' wa Putin wakishughulikiwa wakiwa wamekimbilia UK wakiamini wako salama?
 
Lakini huko huko unakosema kuna usalama wakiamua wanatuma watu wanakumaliza. Hujasikia 'wasaliti' wa Putin wakishughulikiwa wakiwa wamekimbilia UK wakiamini wako salama?
Hao wasalit wa Putin ndiyo wanapeleka ma £UK kwa fujo na kununua majumba
 
Lakini huko huko unakosema kuna usalama wakiamua wanatuma watu wanakumaliza. Hujasikia 'wasaliti' wa Putin wakishughulikiwa wakiwa wamekimbilia UK wakiamini wako salama?
Mkuu uliona ya Putin ilipoishia?

MI6 walifanya investigation mpaka waka-prove ni Putin na consequences zake ni diplomtic stalemate ilifuata!

Mpaka leo UK-Russia diplomatic relations are in a dust bin mzee!

Halafu Russia ilifanikiwa huyo mmoja tu for all this time..Sio rahisi rahisi mkuu kama nchi zetu mashithole huku Africa!Kuna maex-spy wa KGB kibao wapo UK hawajafanikiwa!

Na pia kwenda kufanya assassinations kwenye nchi huru ni act of war na hiyo nchi ina haki ya kufanya retaliation...hiyo ni breach mzee!

Kagame na SA wapo kwenye diplomatic messy....anachokifanya Kagame ni stupidity!

Sasa serikali au wanasiasa waliopo madarakani hawakufuati kwasababu we are all nobodies,ila ukishaanza kua na weight economically na influence chuki zitaanza na wanasiasa will want to kill you up just for fvck of it..Hapo unatakiwa kuwa na escape plan kwenye nchi zenye maana na sio shitholes!
 
Bongo patamu sana mkuu....ulaya yenyewe pagumu sana kama huna kazi ya kueleweka...
Hizi za kubeba maboksi utakuwa unabebeshwa kila siku unakosa muda wa kuenjoy.labda uwe na uraia ila ubaguzi ni mkubwa maana raia wao wengi pia hawana ajira.
Hamna beki 3 ulaya so maisha ni ww na wife.ukitoka kazini wife nae anaenda unabakia na watoto.unabaki unaosha watoto na kumpikia wife....maisha ya kufala sana
Bongo raha sana basi tu changamoto za hapa na pale.
Mi nimeishi pale 4 yrs nikajipangia kabisa baada ya hapo niwe na kitu au nisiwe na kitu narudi Tanzania maana wengi wamebaki kwasababu kakaa muda mrefu na hana maendeleo yoyote.
Aliwaacha washikaji bongo hawana ramani ya maisha ila kwa sasa unakuta mshikaji ana ist yake na anajitutumia kuinua mjengo..akijiangalia anaona kabisa hana chochote kapoteza muda so kuua soo anaamua kubaki huko huko....
Ila ndo upate hizo cjui £ 200,000, unanunua appartment yako kwa mortage unakuwa unakula kodi mdogo mdogo ukiwa huko huko..
Bongo ukiwa na £200,000 we ni don kabisa unaishi maisha safi yenye kukufanya ufurahie..utasomesha watoto shule nzuri na utainvest pia na ukitaka huduma nzuri ya afya unaenda agakhan au unakula zako pipa unaenda kwa madiba...
Hela ndo kila kitu kwa hapa duniani...
 
Yaani ww jamaa una akili Kama zangu yaani.yaani mm nikienda ulaya nitaenda kwa mchongo wa kueleweka na sitakaa zaidi ya 3 years,yaani napiga mkwanja fasta narud kuwekeza bongo.
Bongo ukiwa smart maisha rahisi ila ulaya hakutabiriki wasomi Ni wengi sana na ushindani mkubwa.
 
Baba ukienda kule bila mchongo kazi zao nyingi kwa wageni ni viwandani, warehouse na kuosha mavi....maisha ya mateso sana.
Kwa lisa £7.ukipiga 12 hrs kibongo bongo ni hela nzuri....hapo sasa bado rent, usafiri unalipia kwa wiki au mwezi kama nwendokasi...mi nilikuwa na starlet yangu na nilitumia address ya jamaa mmoja nje mji ila insurance kwa mwezi tu ni 150,000 ya kibongo....huwezi endesha suv ulaya kwa hela za kuunga unga insurance yake ni kubwa balaa....
All in all kule ni pa kikuda sana.mwangalie dada mkuu alie usa kazi yake kubwa ni kuchamba tu ila mfukoni hamna kitu zaidi ya kutafuta wanaume wa kizungu...pagumu sana huko
 
Mkuu ukiwa mjanja hizo zi kuosha wazee unapata £12 kwa saa weekend £15. Ukifanya siku tatu tu unakusanya £400 baada ya tax
 
Ndio hvyo mkuu ila wabongo wengi wamejaa na ulimbukeni tu wakidhani mtu akienda ulaya ndio katusua maisha.
Bongo ukiwa mjanja mashamba ya kulima yamejazana kibao lkn ulaya kuliona shamba ni nadra sana kila mahali Kuna lami na pavement tu.
 
Kusafiri kunakupa exposure, Leo ninajuwa kuwa kuna jembe la diesel la kupalilia na ukilinunua una uwezo wa kupalilia heka moja ya mahindi kwa siku.
 
Ila kuzipata kwa mtu mgeni ni mbinde maana ni kazi za bahati...ulaya £400 kwa maisha ya ulaya ni hela ya kawaida sana sawa na laki 5 ukiwa bongo.
Kwa kule kuanzia salary ya £25,000 kwa mwaka ndo utaweza ishi maisha ya wastani kama kurent appartment yako mwenyewe...kwa hizo £400 bado una msururu wa ndugu bongo wanakutegemea na bado ulipe gharama za maisha utajikuta mnashare room moja zaidi ya watu 2 [emoji1787]
Mkuu ukiwa mjanja hizo zi kiosks wazee unapata £12 kwa saa weekend £15. Ukifanya siku tatu tu unakusanya £400 baada ya tax
 
Ndo ilivyo mkuu.kule kajifunze urudi bongo kuendeleza maisha...kule mtu upo unasomea phd yako lakini kazi unayofanya ni macdonald...very unfair [emoji29]
Ndio hvyo mkuu ila wabongo wengi wamejaa na ulimbukeni tu wakidhani mtu akienda ulaya ndio katusua maisha.
Bongo ukiwa mjanja mashamba ya kulima yamejazana kibao lkn ulaya kuliona shamba ni nadra sana kila mahali Kuna lami na pavement tu.
 
Ndo ilivyo mkuu.kule kajifunze urudi bongo kuendeleza maisha...kule mtu upo unasomea phd yako lakini kazi unayofanya ni macdonald...very unfair [emoji29]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Phd anaajiriwa kuuza mgahawa wakati huku hata mtu aliyesoma Veta hawez kufanya.
 
Mjomba hizi inabidi ujipige basic knowledge ya agriculture au care skills kwenye internet kwani wana interview. Once you are in training zote watakupa na katika siku saba za wiki ukijiongezs kwingine kwa hizo siku mbili unaweza kunyoosha maisha.

Come and we stay Ulaya inafanyika ili kusave kodi.
Inategemea malengo yako ni nini. Waghana wakiingia wanaitwa na cousin ambae ana Vibali . Cousini anajiregister kwa Agency kama tatu halafu amuachia msala.
Unapiga mzigo unarudisha nauli ya cousin na wewe inaanza kuweka. Baada ya miezi 24 unaondoks na kitu £20,000 ni mtaji wa maana
 
Ndio hvyo mkuu ila wabongo wengi wamejaa na ulimbukeni tu wakidhani mtu akienda ulaya ndio katusua maisha.
Bongo ukiwa mjanja mashamba ya kulima yamejazana kibao lkn ulaya kuliona shamba ni nadra sana kila mahali Kuna lami na pavement tu.
Acha kurahisisha mambo,we una shamba kubwa kiasi gani hapa bongo? Je imekuwezesha kuwa mwenye maisha mazuri?
 
Acha kurahisisha mambo,we una shamba kubwa kiasi gani hapa bongo? Je imekuwezesha kuwa mwenye maisha mazuri?
Ndio maana nikasema wabongo hatuna ubunifu ila mapori yamejazana kibao,ukivuka kibaha tu ni mapori kibao yamejazana,kwa wenzetu Wakenya hyo ni fursa.
 
Mjomba nimeishi hapo maisha nayajua fika....hiyo £20,000 mpaka uipate yote mkononi we basi ujue unafanya kazi zaidi ya daladala.labda upate a permanent job sio hizi temp za kwa agencies..
Mi hadi driving licence ninayo ya Uk na nina level 2 food safety ya viwandani nimepiga sana viwanda vya mikate...na nilikuwa napata kazi kirahisi kwa sababu nilikuwa na gari yangu so agency atakuwa anakupigia kila saa maana anajua utaenda faster kazini kuliko hao wanaosubiri public transport.
Nimefanya hadi kazi za kudeliver chinese foods ambazo unapiga from 5pm till 9pm na hukosi £40. Hapo bado vikazi nyingine.
Ila hizo ££ ziko na majini maana mfumo wa hiyo mchi huwezi save hela lazima uspend ili uchumi uendelee kukua..
Nashukuru Mungu nimejifunza mengi sana hapo ulaya hadi siku narudi bongo nilipanda ndege ya klm kwa £100 tu zile za kudukuliwa na wanaigeria [emoji28][emoji28].. nimeuza rav 4 old huku bongo so nina uzoefu wa kuendesha motor way hadi the busiest road m25 nimeendesha kisa nasaka maisha....nimeendesha na provisional licence for 2 good yrs bila kukamatwa maana uongo wote na ujanja nilikuwa naujua.
Ila hapo maisha hakuna wengi wanaishia kupoteza muda tu
 
Kwa pesa kama hiyo hapa bongo ukiipata ghafla lazima takukuru wakuchungulie na mtaani lazima tukuhisi umetoa mtu kafara
 
Ndio maana nikasema wabongo hatuna ubunifu ila mapori yamejazana kibao,ukivuka kibaha tu ni mapori kibao yamejazana,kwa wenzetu Wakenya hyo ni fursa.
Usiseme wabongo hawana ubunifu ndo maana nimekwambia acha kurahisisha,unajua kuna changamoto kubwa sana kwenye kilimo kwa nchi yetu hii,kwanza swala la soko ni changamoto watu wanalima mwisho was siku soko hakuna na sheria hairuhusu kupeleka nje ya Tanzania ...mfano kwa sasa kuna sheria ambayo kusafirisha mahindi wilaya moja kwenda nyingine ni hadi upitie mlolongo mrefu kijizi na huu urasimu uliopo mbona utajuta ...kway usiwaone wabongo ni wajinga kuacha mapori bila kuyalima kuna sababu nyingi tu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…