Fahamu Tier 1 entrepreneur Visa in the UK

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ww jamaa una malogic Kama yangu yaani.
Mimi ndio maana kwenye kazi zangu zote nilizofanya huwa nahakikisha lazima nifanye saving 50% ya salary yangu kila mwezi.
Ndio maana nikiitiwa kazi mahali Cha kwanza lazima niutathmini mshahara upoje.je naweza kufanya saving au ni ya kula tu,kulipia nauli tu na kodi tu halaf inaisha.nikiona ni kazi ambayo siwez kufanya saving yoyote siifanyi.
 
Bro maisha bila kusave ni kujidanganya...umeme kama hauna kiwanda haukusaidiii kitu maana hivyo vingine unaweza kutumia solar au generator ambalo halizidi 2m maisha yakasonga
 
Bro maisha bila kusave ni kujidanganya...umeme kama hauna kiwanda haukusaidiii kitu maana hivyo vingine unaweza kutumia solar au generator ambalo halizidi 2m maisha yakasonga
Ni kweli mkuu umeme ni big issue kwa watu wenye viwanda na mabiashara makubwa lkn maskini wa kawaida anaumia umeme ukikatika eti kwa vile atakosa kuwaona ze comedy kwenye tv.
 
Sasa uhamie kwa jirani kisa ana umeme ambao unawasha taa za nje na kuangalia tv...sisi tunangalia savings unazopata kwenye hayo maisha bora
Ni kweli mkuu umeme ni big issue kwa watu wenye viwanda na mabiashara makubwa lkn maskini wa kawaida anaumia umeme ukikatika eti kwa vile atakosa kuwaona ze comedy kwenye tv.
 
Waliosoma nje wakituma pesa nyumbani inaendeleza uchumi, hatuwezi kukaa wote nyumbani. Hata Waganda waliokimbia Vita ya Kagera na kwenda Ulaya na Marekani sasa hivi ndiyo wawekezaji wakubwa kwao
 
Ingelikuwa hvyo mkuu bas wasingekuwa wanakmbilia nje kutibiwa au kusoma.
 
Kwanini waende na kat waspecial wanao hapo bongo,
Na vitu kuhusu elimu
Kwa sababu tu ya imani kwamba ulaya ndio Kuna uhakika wa kupona wakat hata bongo wataalam wapo na sababu nyingine ni kwa sababu tu nauli ya kwenda na kurud wanayo ndio maana hawawazi.
 
Kwa sababu tu ya imani kwamba ulaya ndio Kuna uhakika wa kupona wakat hata bongo wataalam wapo na sababu nyingine ni kwa sababu tu nauli ya kwenda na kurud wanayo ndio maana hawawazi.
Sio imani ndivyo ilivyo.
 
Hujaona wanao kwenda kitibiwa tezi dume na sinusitis?
Wanakwenda tu kwa upendo wao tu lkn sio kwamba hapa bongo vimeshindikana kutibika.Ni sawa sawa na serikali yetu inavyoleta wachina kuja kutengeneza mitaro ya barabara haimaanishi kwamba huku kwetu hakuna wakandarasi wanaoweza kutengeneza mitaro/mifereji
 
Ni kweli mkuu fursa bado zipo nyingi sana na ndio maana wachina wakija huwa wanashtukia hizo fursa wanatusua sana.
Wana advantage ya mitaji na wenye viwanda kwao wanawatumia kupata masoko ya bidhaa zao.
 
Wana advantage ya mitaji na wenye viwanda kwao wanawatumia kupata masoko ya bidhaa zao.
Kwa mitaji hapana mkuu hela zao za kawaida.
Sio kila mchina anayekuja huku bongo huwa tajiri,wengine huwa wanaletwa kwa niaba ya kufanya deiwaka za ujenzi tu.
Lkn badae akucheki mazingira anagundua Kuna fursa nyingi za kupiga hela na miradi ikiisha mtu anagoma kurud kwao anabaki bongo na kujutegemea yeye mwenyewe.
 
Uwezo wao wa kupata mtaji sio sawa na mzawa.....mengine ni story za vijiweni tuu katika kutiana moyo tusikate tamaa ya kupambana.
 
Uwezo wao wa kupata mtaji sio sawa na mzawa.....mengine ni story za vijiweni tuu katika kutiana moyo tusikate tamaa ya kupambana.
Hahahaha!mkuu hayo mawazo uliyonayo ndio yanayochelewesha kuuondoa umaskini kwa watanzania wengi.
Walio wengi huwa wamekariri kwamba kuanzisha kampuni ni hadi uwe mzungu au mtu mweupe.
 
Upo sahihi mkuu, nimeishi Ulaya miaka 3 muhimu kuna vitu nimejifunza nilivyorudi bongo nimekuwa mtu wa tofauti na nazitumia fursa na kila mwaka naenda kutembea huko
 
Mazingira ya nigeria na bongo tofauti sana, mindset ya wa nigeria wote ni kukimbia nchi yao kwa kuwa kwao hali ni ngumu sana, ajura, umeme, hoko haram, population kubwa n.k ni tofauti na bongo. Kwahiyo bongo haoni umuhimu wa kurisk hivyo wakati akiwa na master ya uk akirudi bongo anauhakika wa kuapata kazi nzuri au kufanya baishara ya maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…