mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uk wanatumia pound sio euro....pound moja ni tshs 2800 huko
Kingine ni kwamba bongo ni bongo na kuishi ulaya we ni mtumwa tu...umeme hata uwe wa uhakika kama hauna kazi nao haukusaidii chochote ndugu
Nimeishi uk miaka 4 sikuwahi kuumwa so hizo huduma za afya hata kama ni bure hazikunisaidia ....lazima ujue kutofauti kati ya msalaba na jumlisha...
Maisha ya sasa ni kutafuta pesa lakini kikubwa ni kusave hicho ulichopata...kam unapata 5m then matumizi ni 4.8m hapo hamna kitu bora ufanye kazi ya laki 7 then matumizi laki 3 ukasave hiyo iliobakia
Ww jamaa una malogic Kama yangu yaani.
Mimi ndio maana kwenye kazi zangu zote nilizofanya huwa nahakikisha lazima nifanye saving 50% ya salary yangu kila mwezi.
Ndio maana nikiitiwa kazi mahali Cha kwanza lazima niutathmini mshahara upoje.je naweza kufanya saving au ni ya kula tu,kulipia nauli tu na kodi tu halaf inaisha.nikiona ni kazi ambayo siwez kufanya saving yoyote siifanyi.