Haina maana...Ni UJINGA wa fikra tu...6bn unafanya mengi hapa hapa TZ...Paris,Rome,London,Venice,LA panakua vacation sites zako tu kipind upo likizoinaonekana kama ina maana ila kwa sisi watanzania huo ni ujinga.. Yaani bilioni 6 za kktanzania una haja gani ya kwenda uko?
How old are You?Ukiwa na £2M na business plan wanakupa Indefinite Leave to Remain. Hii ilianzishwa na David Cameroon kushawish wawekezaji wengi kuingia Uingereza.
Wengi wanaopata visa hii ni Warusi na Wahindi. Wahindi huwa wanachangana pesa muombaji akipata viza anawarudishia pesa waliomsaidia .
Wakati Zimbabwe imewekewa vikwazo vya uchumi, kikichowaokoa ni Wazimbabwe walio Ulaya na Marekani walikuwa wanatuma cash nyumbani kwa ndugu zao na mzunguko wa hela ukaweza kuendelea.Mazingira ya nigeria na bongo tofauti sana, mindset ya wa nigeria wote ni kukimbia nchi yao kwa kuwa kwao hali ni ngumu sana, ajura, umeme, hoko haram, population kubwa n.k ni tofauti na bongo. Kwahiyo bongo haoni umuhimu wa kurisk hivyo wakati akiwa na master ya uk akirudi bongo anauhakika wa kuapata kazi nzuri au kufanya baishara ya maana.
Hayo yote yametoka wapi mimi naongelea mitaji na naongelea kitu ninachofahamu na kuishi nao na ku experience ujanja ujanja wao.Hahahaha!mkuu hayo mawazo uliyonayo ndio yanayochelewesha kuuondoa umaskini kwa watanzania wengi.
Walio wengi huwa wamekariri kwamba kuanzisha kampuni ni hadi uwe mzungu au mtu mweupe.
Ni kweli hata hapo tu kwa majirani Kenya, top forex earner yao ni remittance ya wakenya walio nje ikifuatiwa na utalii, Uganda pia.Life expectancy yetu ni 55 wakati ya Wazungu ni 75
Wakati Zimbabwe imewekewa vikwazo vya uchumi, kikichowaokoa ni Wazimbabwe walio Ulaya na Marekani walikuwa wanatuma cash nyumbani kwa ndugu zao na mzunguko wa hela ukaweza kuendelea.
Philippines ilipopata tetemeko la ardhi ilipata msaada mkubwa kutoka nje kwakuwa wa Phillipino wengi ndiyo walimu na manesi Ulaya na Marekani.
Tupanue fikra zetu ili tuzidi kuinua uchumi wa nchi yetu.
Mfano wako ni irrelevant lknWanakwenda tu kwa upendo wao tu lkn sio kwamba hapa bongo vimeshindikana kutibika.Ni sawa sawa na serikali yetu inavyoleta wachina kuja kutengeneza mitaro ya barabara haimaanishi kwamba huku kwetu hakuna wakandarasi wanaoweza kutengeneza mitaro/mifereji
Lkn umeelewa nilichomaanisha na lengo langu.Mfano wako ni irrelevant lkn
this sound very good indeedMjomba hizi inabidi ujipige basic knowledge ya agriculture au care skills kwenye internet kwani wana interview. Once you are in training zote watakupa na katika siku saba za wiki ukijiongezs kwingine kwa hizo siku mbili unaweza kunyoosha maisha.
Come and we stay Ulaya inafanyika ili kusave kodi.
Inategemea malengo yako ni nini. Waghana wakiingia wanaitwa na cousin ambae ana Vibali . Cousini anajiregister kwa Agency kama tatu halafu amuachia msala.
Unapiga mzigo unarudisha nauli ya cousin na wewe inaanza kuweka. Baada ya miezi 24 unaondoks na kitu £20,000 ni mtaji wa maana