Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Leo wakati nasikiliza kipindi flani kuna doctor wa kisaikolojia alikuwa akichambua tofauti ya mwanamke aliyekupenda na mwanamke mwenye malengo na wewe kwa kusikiliza kauli zao pale mwanaume unapoingia katika mahusiano.
KAULI ZA MWANAMKE ALIYEKUPENDA KWA DHATI.
1.Hupenda kusex na wewe kila time na full kupeana malavidavii.
2.Hupenda kila saa muwe pamoja popote unapokwenda.
3.Uwee na kitu usiwe na kitu yeye kwake ni sawa.
4.Yupo tayari kukaa na wewe katika mazingira yoyote bila kujali.
5.Hupenda kufata tabia zako mienendo yako kama unapenda mpira, siasa basi na yeye hupenda kufata hivyo.
6.Hupenda kukutafuta kila saa kuonana nae au mchat kila saa.
7.Akigundua umeyumba kiuchumi yupo tayali kumpiga kibomu mwanaume au mtu mwingine cha pesa na kukuletea wewe pesa.
8.Hapendi kukuona umekosa furaha yupo tayari kufanya lolote lile ulipendalo ili mradi uwe na furaha.
MWANAMKE MWENYE MALENGO.
1.Hayupo tayari kufanya mapenzi mpaka mfunge ndoa.
2.Hupenda kukuuuliza maswali kuhusu wewe kutaka kujua unafanya nini.
3.Hupenda kujua malengo yako kwa sasa ni yapi una mipango gani katika maisha.
4.Hupenda kukuuleza malengo yake katika maisha na kupima upepo kama utaweza kumsaidia au una msaada gani kwake.
5.Hupenda kufahamu ni aina gani ya assets au mali unazomiliki.
6.Akiwa na karibu na mwanaume wake huwa sio mzungumzaji sana muda mwingi yupo kimya mpaka wewe umuanze.
7. Ni mvivu kukutafuta pale anapogundua mambo yako hayajakaa sawa mara nyingi ukimtafuta hukupa sababu amebanwa au kuna vitu vina mkeep bize.
8.Na mara nyingi hupenda kujiweka mbali na mwanaume wake pale anapogundua hali yake ya kiuchumi au mambo yake sio nzuri ila akijua upo vizuri hupenda kujiweka karibu na kukutafuta.
SASA ADVANTEGE NA DISADVANTAGE YA AINA HIZI ZA WANAWAKE.
1.MWANAMKE MWENYE MALENGO AKIONA KILA ANACHOKITAFUTA TOKA KWAKO KAMA NI PESA AU MALI TOKA KWAKO ATAKUACHAA ILA MWANAMKE ALIYEKUPENDA HATA UWE NA PESA USIWE NA PESA WALA MALI HAWEZI KUKUACHA.
2.MWANAMKE MWENYE MALENGO NA WEWE HUWA ANA ROHO NGUMU YUPO TAYALI KUKUUWA AU KUKUFANYIA KITU KIBAYA ILI MRADI APATE PESA Au MALI
TOFAUTI NA MWANAMKE ALIYEKUPENDA
3.MWANAMKE MWENYE MALENGO NA WEWE HUKUPA AKILI YA KUTAFUTA PESA NA MALI KWA AJIRI YAKE TOFAUTI NA MWANAMKE ANAYEKUPENDA.
4.MWANAMKE MWENYE MALENGO UKIINGIA NAE KATIKA NDOA HUWA ANA ASILI FLANI YA UBABE NA HUPENDA UISHI APENDAVYO YEYE
HIVYO MNOTAFUTA MKE MWEMA ANZENI KUJIFUNZA TOKEA HUMU