Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]Umeandika ngonjera tu. Mwanamke anayenipenda ni yule ninayempa HELA tu...inaweza kuwa ni kumfanyia shopping, kumsaidia kodi ya pango, kumtumia M-pesa etc. mengine ni mashudu tu. Kwanzan utakuwaje romantic na kupendwa kama huna kitu? mkuu acha kujitoa akili
Mimi nina jamaaa wangu alikuwa anafanya kazi NMB na alikuwa ana mpenzi wake anampenda mnoo.Aisee hii kitu imenigusa,mi hawa wanawake onnao wote wawili ila huyu Wa pili ndo nampenda zaidi na ndo nitamzungumzia hapa,toka mwez Wa kwanza mwaka huu mpaka Leo hataki tufanye sex eti mpaka Tulane,simu nkimpigia Mara hapokei SMS hajib,anajibu Mara chache sana,ukimuuliza kwann unafanya hvo anasema alkuwa busy au alikuwa amelala,ila sasa nshaanza kumchoka sumtime na Mimi huwa simtafut,akiona nmekaa kimya muda mrefu ananitafuta mwenyew,ila ni mzuri kuliko huyo anaenipenda
AiseeMimi nina jamaaa wangu alikuwa anafanya kazi NMB na alikuwa ana mpenzi wake anampenda mnoo.
Siku mkataba wa kazi umeishaa na mshikaji kurudi kitaa kuanza maisha mapya baada ya mwezi yule binti alimwambia naomba tuachane kwa sababu binti alidai hawezi kudate na mwanaume asiyekuwa na ajiraaa
Hahahahahahaha! BOSS umenichekesha kwa kweli nilikuwa deep sana katika strees naona kama zimekata. Pamoja sana kiongozi wanguHilo kundi la kwanza nawaona sana kwenye movies na kuwasoma kwenye stories kama hivi lakini kundi la pili tupo nao sana mtaani kila siku!
Hahaha,pamoja MkuuHahahahahahaha! BOSS umenichekesha kwa kweli nilikuwa deep sana katika strees naona kama zimekata. Pamoja sana kiongozi wangu
FactKundi la pili ni mwanamke aliyekomaa kifikra na kiakili na mara nyingi anakuwa juu ya miaka 25, ila kundi la kwanza ni mwanamke ambaye hajakomaa kiakili na mara nyingi anakuwa chini ya miaka 20. Karibu wanawake wote wakifikisha zaidi ya miaka 25 hubadilika na kuwa na malengo. Kwa maoni yangu sioni tatizo kuwa na mwanamke mwenye malengo bali tatizo aina ya malengo yanakusudia kumnufaisha nani? Kama yakusudia kuwanufaisha wote huyo ni mzuri na kama yankusudia kumnufaisha yeye peke yake huyo hakufai. Huo ni uchambuzi wangu
KabisaaaWachache wapo kwenye kundi la kwanza.. Kundi la pili si rafiki kuwa nalo maana mwisho wa siku ni umauti unamkuta wa kiuchumi, kimwili na mwishoe kiroho.
Hahahaaangoja niwachambue hawa wachumba wangu wa wawili.
Aisee hii kitu imenigusa,mi hawa wanawake onnao wote wawili ila huyu Wa pili ndo nampenda zaidi na ndo nitamzungumzia hapa,toka mwez Wa kwanza mwaka huu mpaka Leo hataki tufanye sex eti mpaka Tulane,simu nkimpigia Mara hapokei SMS hajib,anajibu Mara chache sana,ukimuuliza kwann unafanya hvo anasema alkuwa busy au alikuwa amelala,ila sasa nshaanza kumchoka sumtime na Mimi huwa simtafut,akiona nmekaa kimya muda mrefu ananitafuta mwenyew,ila ni mzuri kuliko huyo anaenipenda