Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Kwenye mapenzi pasipokuwa na upendo hakuna malengo. Upendo wa kweli ndio unaojenga na utakaojenga hata malengo yenu ya baadae. Ni muhimu sana kwa mwanaume kuwa kwenye mahusiano na mwanamke anayekupenda.