Fahamu tofauti ya kauli kati ya mwanamke aliyekupenda na mwanamke mwenye malengo na wewe

Nyakati zinabadilika utaishia ukariri tu.
[emoji4] [emoji188]
 
Umeandika ngonjera tu. Mwanamke anayenipenda ni yule ninayempa HELA tu...inaweza kuwa ni kumfanyia shopping, kumsaidia kodi ya pango, kumtumia M-pesa etc. mengine ni mashudu tu. Kwanzan utakuwaje romantic na kupendwa kama huna kitu? mkuu acha kujitoa akili
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
 
Mimi nina jamaaa wangu alikuwa anafanya kazi NMB na alikuwa ana mpenzi wake anampenda mnoo.

Siku mkataba wa kazi umeishaa na mshikaji kurudi kitaa kuanza maisha mapya baada ya mwezi yule binti alimwambia naomba tuachane kwa sababu binti alidai hawezi kudate na mwanaume asiyekuwa na ajiraaa
 
Aisee
 
Hilo kundi la kwanza nawaona sana kwenye movies na kuwasoma kwenye stories kama hivi lakini kundi la pili tupo nao sana mtaani kila siku!
Hahahahahahaha! BOSS umenichekesha kwa kweli nilikuwa deep sana katika strees naona kama zimekata. Pamoja sana kiongozi wangu
 
Mtoa mada ni vizuri ukayaweka makundu hayo katika mlengo wa makabila hapa Tz ili tuende sawa kwa mifano anuai
 
Dah me ninao wawili
1.Yeye hana mkuu, akishanipa papuchi baac haitaji kingne zaid ya kuwa na mm muda wote.
2.Anapenda kujua namiliki nin, malengo yangu ni yap na huwa anapenda kunambia mipango yake, hatoi papuchi kizembe.
Ni mwaka sasa ila kanipa papuchi mara tatu tu.
 
Fact
 
Wachache wapo kwenye kundi la kwanza.. Kundi la pili si rafiki kuwa nalo maana mwisho wa siku ni umauti unamkuta wa kiuchumi, kimwili na mwishoe kiroho.
Kabisaaa
 

Umesema kweli, yaonesha unampenda sana lakini yy anamalengo tofauti. Mdadisi zaidi ukute anawengine aliowaweka moyoni zaidi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…